Kwa price point ya 350k kushuka hakuna simu yoyote inayokaribia redmi 10C.
Highlight ya hio simu ni snapdragon 680 ambayo ni soc nzuri sana kwa hio bei, na storage za ufs ambazo hutumika kwenye simu za Bei ghali.
Pia ukitumia Gcam camera ni nzuri, main camera ni sawa na wakubwa wake kama Redmi note 11,
Weakness kubwa ni display yake ni HD kawaida yaani 720p, wakati redmi 9 ilikuwa 1080p yaani FHD.
Kama unaweza ishi na kioo cha kawaida ni simu nzuri sana. Competition kwa simu kama hii wanauza laki 4 kupanda, mfano Samsung A23.