Ipi imekaa njema oppo a16 na Redmi 10c

Zote niliona miyeyusho nikachukua mi note 11
 
Sorry mkuu, unatumia simu gani?
 
vipi hii ulinunulia wapi?? ni dual sim card?? naona aliexpress nyingi wanauza zile za mitandao ya simu na nyingi ni single line
Yangu ni single sim, kuna kipindi wakati LG wanakaribia kufunga Biashara ziliuzwa kama Keki mkuu, Brand new chini ya laki 6.

Sasa hivi unapata refurb za mitandao ya simu ebay Around laki 3, plus usafiri na kodi inasimama kama laki 4 mpaka 4 na nusu.

Silent ocean wameanza Huduma za forwading marekani, walisema wataanzisha na Air cargo, sijajua kama tayari ila itasaidia sana kwa laymen kununua Vitu USA.
 
Tajiri mtataa kama Salaah
 
Tutachukua tu broo haya mambo yapo tu
Kwa simu moja itakucost kama 1.2m kuileta, haina mantiki kwa mtu wa kawaida.

Ila kilo 45 kwa mfanyabiashara anaweza akaleta simu 135 ambayo roughly inamcost kama 9000 kwa kila simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…