Ipi imekuwa sababu ya ongezeko la ununuaji wa midoli ya maumbo ya ngono na buttplugs hapa Tanzania?

Design Your Idea

Senior Member
Joined
Jun 3, 2024
Posts
154
Reaction score
480
Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo hatukuwahi kutarajia Watanzania tutaingiamo ila kwa bahati mbaya tayari tumo.

Wanawake wanatumia hadi buttplugs zenye vibrator (ice breaker), vibrator device vya kutekenya (uke) na midoli ya mfano wa uume mkubwa.

Sasa najiuliza ni kwamba watu hawaridhiki kingono au ni matokeo ya kuiga yale yanayofanywa kwenye porno?
 
Watu wengi hawajui Porno ni silaha ya kifikra.

Matokeo ya matendo ya kingono yaliyo extreme siku hizi ni matokeo ya muda mrefu wa akili iloathiriwwa na porno au kufanyiwa vitu na mtu ambae ni muathirika wa matumizi ya porno toka ujana wake mdogo (13-16yrs old)

Wanawake nao pia ni watumiaji wa porno vizuri sio tu vidume.
 
😂😂😂😂

Kwa yanayoendelea ya wanawake kuwa na viburi kwa wanaume, ujuaji,kukataa ndoa,kuzaa nje ya Ndoa sidhani kama haya mambo yasingefika.

Saa hii wanapelekeana moto wenyewe kwa wenyewe. Wanaume wanaokutana nao wanawaomba kuwaingilia kinyume na maumbile.

Wamekaukiwa hisia hawana msisimko wa asili wa kike. Mwanamke wa sasa miaka 19 au 20 ukimwambia unampenda hasikii chochote wala hapati hisia zozote. Wakati zamani wakati wanawake wakiwa protected, ukimwambia nimekupenda anapata msituko wa moyo plus anasisimka mwili mzima.

Huu mtihani mkubwa tumeingia na hawa wanawake wa hovyo wanakwenda kutengeneza tabaka la wanawake watu wazima. Imagine akina giggy money,zuchu,shilole ndio waje kuwa akina mama wazee wa kushauri mabinti na vijana.
 
Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo hatukuwahi kutarajia Watanzania tutaingiamo ila kwa bahati mbaya tayari tumo.

Wanawake wanatumia hadi buttplugs zenye vibrator (ice breaker), vibrator device vya kutekenya jagina (uke) na midoli ya mfano wa uume mkubwa.

Sasa najiuliza ni kwamba watu hawaridhiki kingono au ni matokeo ya kuiga yale yanayofanywa kwenye porno?
Mlipoanza kuiga maujinga ya generations za wazungu ndio mlipokuwa mnaelekea kuanza kununua hizo items
Sasa wewe mtz unajiita sijui millenial sijui Genz, hizo gens na watz wapi na wapi
 
Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo hatukuwahi kutarajia Watanzania tutaingiamo ila kwa bahati mbaya tayari tumo.

Wanawake wanatumia hadi buttplugs zenye vibrator (ice breaker), vibrator device vya kutekenya (uke) na midoli ya mfano wa uume mkubwa.

Sasa najiuliza ni kwamba watu hawaridhiki kingono au ni matokeo ya kuiga yale yanayofanywa kwenye porno?
Mambo yao tuwaachie wenyewe ,kuna umri unataka kufanya kila kitu....yatapita tu.
 
Kwanini watanzania mnapenda sana kufukunyua mambo ya chumbani!!! mtu kanunua hizo vitu ni faragha yake lakini bado mtu atamchimbua chimbua na kufokonyoa fokonyoa weeee hadi unashangaa ni kukosa kazi? tuna asili ya umbea? bado hatujastaarabika na kuheshimu faragha za wengine?
Inashangaza sana
 
Nakazia
 
Attachments

  • FB_IMG_1781157571875.jpg
    FB_IMG_1781157571875.jpg
    89.9 KB · Views: 17
😂😂😂😂

Kwa yanayoendelea ya wanawake kuwa na viburi kwa wanaume, ujuaji,kukataa ndoa,kuzaa nje ya Ndoa sidhani kama haya mambo yasingefika.

Saa hii wanapelekeana moto wenyewe kwa wenyewe. Wanaume wanaokutana nao wanawaomba kuwaingilia kinyume na maumbile.

Wamekaukiwa hisia hawana msisimko wa asili wa kike. Mwanamke wa sasa miaka 19 au 20 ukimwambia unampenda hasikii chochote wala hapati hisia zozote. Wakati zamani wakati wanawake wakiwa protected, ukimwambia nimekupenda anapata msituko wa moyo plus anasisimka mwili mzima.

Huu mtihani mkubwa tumeingia na hawa wanawake wa hovyo wanakwenda kutengeneza tabaka la wanawake watu wazima. Imagine akina giggy money,zuchu,shilole ndio waje kuwa akina mama wazee wa kushauri mabinti na vijana.
Umemaliza mkuu
 
Back
Top Bottom