Ipi impact ya matamko ya Pasaka na Christmas katika siasa?

Kwa Tanzania ayana impact kwasababu hata CCM wanajua jinsi watanzania walivyo waoga.

Nchi kama Congo yana impact kwasababu RC wakitoa waraka kesho yake mapema wananchi wanaingia barabarani na viongozi wa kanisa wakiwa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…