devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Wakuu nashindwa kuelewa ipi yenye nguvu milimani na ipi. Ina spid kuliko nyingine wakat zote ni 150?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanlg zimekuwa designed kwa ajili ya mizigo mizito.Nimetembea mikoani aisee ni sang lg kwenda mbele niliuliza wakasema zinahimili mizigo mizito
Hizi story za kwamba boxer haijawa designed kubeba mizigo mizito sijui mlidanganywa na nani...tena frame/chasis ya boxer ni imara kuliko hizo za sanlg...sasa sijajua kigezo hicho mlikipimia wapi?Sanlg zimekuwa designed kwa ajili ya mizigo mizito.
Boxer in other side ni speed, kuchanganya faster.. na smoothness
Mfano roba la mahindi kilo mia je boxer inaweza beba??Hizi story za kwamba boxer haijawa designed kubeba mizigo mizito sijui mlidanganywa na nani...tena frame/chasis ya boxer ni imara kuliko hizo za sanlg...sasa sijajua kigezo hicho mlikipimia wapi?
unaweza ukanitajia ni nini Sanlg inabeba na boxer haitaweza kubeba!
kwahiyo unataka kusema zikiwekwa hizo Kg 100 za mahindi nini kitatokea? pikipiki itavunjika? haitaweza kuondoka?[emoji1787]Mfano roba la mahindi kilo mia je boxer inaweza beba??
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Duuuuh shikamoo jomba... pengine boxer yangu ni mbofukwahiyo unataka kusema zikiwekwa hizo Kg 100 za mahindi nini kitatokea? pikipiki itavunjika? haitaweza kuondoka?[emoji1787]
mimi nina Kilo 84, jamaa yangu ana 96 na wife ana 70 na wote tulikua tunapanda Boxer, sasa niambie ni kilo ngapi hizo jumla [emoji23]
mimi naongea hivi kwasababu niliwahi tumia Boxer 150 ya jamaa kubebea magunia ya mahindi na mpunga.
mahindi nilikuwa napakia gunia mbili na inapiga kaz vzuri tuu, na mpunga zilikuwa zinapangwa gunia 4.
sasa sijajua wewe unaongea kwa experience ipi au ni maneno ya vijiweni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duuuuh shikamoo jomba... pengine boxer yangu ni mbofu
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Milimani boxer ni pikipiki ya hovyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe jamaa uliua chuma cha mwenzio....kwahiyo unataka kusema zikiwekwa hizo Kg 100 za mahindi nini kitatokea? pikipiki itavunjika? haitaweza kuondoka?[emoji1787]
mimi nina Kilo 84, jamaa yangu ana 96 na wife ana 70 na wote tulikua tunapanda Boxer, sasa niambie ni kilo ngapi hizo jumla [emoji23]
mimi naongea hivi kwasababu niliwahi tumia Boxer 150 ya jamaa kubebea magunia ya mahindi na mpunga.
mahindi nilikuwa napakia gunia mbili na inapiga kaz vzuri tuu, na mpunga zilikuwa zinapangwa gunia 4.
sasa sijajua wewe unaongea kwa experience ipi au ni maneno ya vijiweni.
kama umefika Bukoba, Uganda na Kenya wanatumia sana Boxer kwa boda boda....na Bukoba kuna milima sana lkn Boxer hizo hizo zinatumika na zipo vzr sana.
kwahiyo sanlg ukibebea mzigo haichoki? na spare za sanlg unareplace kila mara sasa sijajua unafuu wa gharama upo wapi.ishu ni kwamba ukiipakilia mamizigo boxer ikichoka spare zake ni ghali mno tofauti na san lg hivo zinahitaji matunzo zisikufilisi
Chuma ya mwamba bado ipo halafu ni nzima hatari!Wewe jamaa uliua chuma cha mwenzio....
Boxer haitaki hizo japo itatembea.... Ila kuna vitu vingi vitaanza kufa taratibu kwa ulichokifanya
Boxer haitaki shida coz yenyewe inatumia timing chain tofauti na sanlg ambayo inatumia pushload
Hivyo boxer haitaki purukushani hizo mara kwa mara... Fuata menu yake na usiende tofauti kama kubeba kilo tofauti na zile zilizoelekezwa