choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
mfano tuu block ya boxer 150k wakati sanlg 60, nusu ya bei , kwahiyo kuirudisha barabarani ni nafuu, sasa boxer ikiipa misukosuko inakufilisi ,kwahiyo sanlg ukibebea mzigo haichoki? na spare za sanlg unareplace kila mara sasa sijajua unafuu wa gharama upo wapi.
Wewe ni Muha!?Chuma ya mwamba bado ipo halafu ni nzima hatari!
sema tatizo ni story za vijiweni ndo mnasambaziana sumu.
Nani aliyesema timing chain haiwezi purukushani ukilinganisha na push road [emoji1787] kwani timing chain ama push roads kazi yake ni nini? kwa point hiyo unataka kusema engine za magari haziwezi purukushani ukilinganisha na za sanlg? maana magari pia yanatumia timing chain, kitu ambacho hakihusiani kabisa na purukushani au ubebaji wa mizigo
Cc sio nguvu..kulingana cc haimaanishi zina nguvu sawa..tafuta manual book ya salng na boxer utaona yenye nguvu ni ipi pia angalia nguvu max imepatikana kwenye rpm ngapi....kupanda milima 10hp at 6000rpm ni nzuri kuliko 10hp at 8500rpmkwa uelewa wangu mimi, inategemea na shughuli inayotaka kufanyika kazi hiyo pikipiki, na inategemea na maeneo unayotaka kufanyia kazi. interms of power zote zinanguvu sawa coz cylinder capacity (cc) zake ni sawa.
facts
ABIRIA.
. kwa upande wa kubeba abiria maeneo ya tambalale na changamoto kidogo ni vema ukatumia boxer coz suspension system yake + plus seat designing havimuumizi abiria wala kumpa uchovu wa mapema....
ila kwa sanlg (inategemea na model) huwa haipo comfortable sana kwa abiria coz 1... seat designing na rest foot ipo karibu sana hivo abiria anakaa kama kajikunja.. 2.... suspension system ya sunlg huwa ni ngumu hivyo kama mtapita maeneo yenye vishimo ni lazima abiria atateseka. Ndio maana wadada wengi mjini hawapendi kupanda sanlg, fecon, n.k wanaita malori.
MIZIGO.
. Kwa upande wa ubebaji mzigo boxer inauwezo wa kubeba hata kilo 200 na mzigo ukakaa vizuri kwenye seat na pikipiki isilalamike. pia ina faida ya kuwa na vichuma vingi vya katika seat kuruhusu mipira au kamba kufunga mzigo ukae vizuri kwenye carrier au seat. lakini inachangamoto jinsi ilivyoundwa ni nyepesi kwa suspension za mbele kuinuka kama utabeba mzigo mzito na kupita nayo kwenye muiniko au hata mashimo ya barabarani.
sunlg ni nzuri kwa kubeba mizigo mizito kutokata na umbile lake ( imetitia) na mfumo wa gear umerahisishwa ili kihimili mizigo mizito mf. gear no 1 inanguvu kwa kuwa ina mzunguko mkubwa chukulia mfano gear no 1 ya scania na ya landcruiser utaona kuna utofauti wa rpm ya engine na speed ya final drive. pia muundo ya pkpk jinsi ulivotengenezwa si rahisi kuinuka tairi ya mbele pale ambapo utakutana na changamoto ya mlima au mashimo ya barabara.
UBORA..
Boxer ni bora kwani aina ya materials yanayotumika yanaviwango vikubwa kidogo ukilinganisha na sanlg, uliangalia ubora wa chuma cha chasis, ngao inayolinda miguu pamoja na engine, indicators ulikaji wa tairi, bomba la moshi lilipoekwa si rahisi kuunguza mguu hata pikipiki ikikuangukia, ubora wa chain box halipigi kelele mapema n.k ni bora ukilinganisha na sunlg ambayo kama itatokea umepata ajali ni rahisi vitu kama sidemirrows, indicators, dashboard, mikono ya break na crutch kubaki barabarani.
GHARAMA.
Boxer inagharama kwenye manunuzi ya pikipiki yenyewe, vifaa original kama utahitaji kuvifunga pia engine yake inahitaji matunzo zaidi ya maelezo.
sunlg vifaa vyake ni nafuu na engine inavumilia oil hata kama viscosity imepungua mno.
MAJIBU YA SWALI.
engine zote zina nguvu sawa lakini sunlg inaonekana kuwa na nguvu kwa upande wa rough road ama njia yenye milima kama itakuwa na mzigo. na boxer inaonekana kuwa na nguvu katika finaldrive (speed) kama njia ni tambarare na hauna mzigo au mzigo ni wa kawaida.
mzee wa muongozo [emoji16][emoji16][emoji3]Ngoja waje kukupa muongozo...
Naunga mkono hoja nina boxer imewahi hadi kupakia machne zto karibu kilo 250.. sema wabongo wamekalili maisha na elim weng hawanaHizi story za kwamba boxer haijawa designed kubeba mizigo mizito sijui mlidanganywa na nani...tena frame/chasis ya boxer ni imara kuliko hizo za sanlg...sasa sijajua kigezo hicho mlikipimia wapi?
unaweza ukanitajia ni nini Sanlg inabeba na boxer haitaweza kubeba!
Inabeba vzr kabsaMfano roba la mahindi kilo mia je boxer inaweza beba??
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Good analysiskwa uelewa wangu mimi, inategemea na shughuli inayotaka kufanyika kazi hiyo pikipiki, na inategemea na maeneo unayotaka kufanyia kazi. interms of power zote zinanguvu sawa coz cylinder capacity (cc) zake ni sawa.
facts
ABIRIA.
. kwa upande wa kubeba abiria maeneo ya tambalale na changamoto kidogo ni vema ukatumia boxer coz suspension system yake + plus seat designing havimuumizi abiria wala kumpa uchovu wa mapema....
ila kwa sanlg (inategemea na model) huwa haipo comfortable sana kwa abiria coz 1... seat designing na rest foot ipo karibu sana hivo abiria anakaa kama kajikunja.. 2.... suspension system ya sunlg huwa ni ngumu hivyo kama mtapita maeneo yenye vishimo ni lazima abiria atateseka. Ndio maana wadada wengi mjini hawapendi kupanda sanlg, fecon, n.k wanaita malori.
MIZIGO.
. Kwa upande wa ubebaji mzigo boxer inauwezo wa kubeba hata kilo 200 na mzigo ukakaa vizuri kwenye seat na pikipiki isilalamike. pia ina faida ya kuwa na vichuma vingi vya katika seat kuruhusu mipira au kamba kufunga mzigo ukae vizuri kwenye carrier au seat. lakini inachangamoto jinsi ilivyoundwa ni nyepesi kwa suspension za mbele kuinuka kama utabeba mzigo mzito na kupita nayo kwenye muiniko au hata mashimo ya barabarani.
sunlg ni nzuri kwa kubeba mizigo mizito kutokata na umbile lake ( imetitia) na mfumo wa gear umerahisishwa ili kihimili mizigo mizito mf. gear no 1 inanguvu kwa kuwa ina mzunguko mkubwa chukulia mfano gear no 1 ya scania na ya landcruiser utaona kuna utofauti wa rpm ya engine na speed ya final drive. pia muundo ya pkpk jinsi ulivotengenezwa si rahisi kuinuka tairi ya mbele pale ambapo utakutana na changamoto ya mlima au mashimo ya barabara.
UBORA..
Boxer ni bora kwani aina ya materials yanayotumika yanaviwango vikubwa kidogo ukilinganisha na sanlg, uliangalia ubora wa chuma cha chasis, ngao inayolinda miguu pamoja na engine, indicators ulikaji wa tairi, bomba la moshi lilipoekwa si rahisi kuunguza mguu hata pikipiki ikikuangukia, ubora wa chain box halipigi kelele mapema n.k ni bora ukilinganisha na sunlg ambayo kama itatokea umepata ajali ni rahisi vitu kama sidemirrows, indicators, dashboard, mikono ya break na crutch kubaki barabarani.
GHARAMA.
Boxer inagharama kwenye manunuzi ya pikipiki yenyewe, vifaa original kama utahitaji kuvifunga pia engine yake inahitaji matunzo zaidi ya maelezo.
sunlg vifaa vyake ni nafuu na engine inavumilia oil hata kama viscosity imepungua mno.
MAJIBU YA SWALI.
engine zote zina nguvu sawa lakini sunlg inaonekana kuwa na nguvu kwa upande wa rough road ama njia yenye milima kama itakuwa na mzigo. na boxer inaonekana kuwa na nguvu katika finaldrive (speed) kama njia ni tambarare na hauna mzigo au mzigo ni wa kawaida.
Kama upo milimani Achana na Boxer
Usimwite mtu muongo kila mtu anaongea kwa experience aliyokuwa nayo, binafsi nina mwaka wa 7 namiliki boxer na nakaa sehem zenye milima, nimedumu nayo kwa muda mrefu kwasababu naitumia kutembelea tu ila walionunua kwa ajili ya shurba zilishawashinda siku nyingi tu. Ukubali ukatae boxer ikiwa na mzigo mlimani ni shida sana huwez kufananisha na pikipki za mchina, sehem ambayo mchina akiwa na mzigo anaweza kupita na namba 2 wewe mwenye boxer ukiwa na mzigo unaweza ukapanda na namba 1 kabisa naongea kwa uzoefu kwasababu nimemiliki tangu ikiwa mpya sikununua kwa mtu.Acha uwongo nmetumia milima ya udzungwa huko ambako HAOJUE ya mchna haipandi kama mpo mishikaki ...kule nilikutan ni KING LION 150 ,SANLG 150 na FEKON 150 NA MM NA BOXER for rough road 150..wakati mchna wanapangia gia chini mm nilikuwa naenda kupangulia juu kabsa na nmepakia mtu 3
Sijajua na sijaelewa je cha china kinakuwa na nguvu sana au kinakuwajeChombo kikishakuwa tu cha China, kuhusu nguvu usijiulize ulize sana!!
Priority ya mchina ni nguvu! Yaliyobaki makers wengine watafanya..Sijajua na sijaelewa je cha china kinakuwa na nguvu sana au kinakuwaje
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Magari ni timing belt mkuuChuma ya mwamba bado ipo halafu ni nzima hatari!
sema tatizo ni story za vijiweni ndo mnasambaziana sumu.
Nani aliyesema timing chain haiwezi purukushani ukilinganisha na push road [emoji1787] kwani timing chain ama push roads kazi yake ni nini? kwa point hiyo unataka kusema engine za magari haziwezi purukushani ukilinganisha na za sanlg? maana magari pia yanatumia timing chain, kitu ambacho hakihusiani kabisa na purukushani au ubebaji wa mizigo
udereva wako tu..... nishakwemda milima ya upareni na tvs 125 na haikunisumbua ....