Ipi inaanza kati ya leseni ya biashara na TIN?

Si kweli hacha kupotosha watu. TIN hutolewa bure. Ila ukishapata TIN then unahitaji leseni ya biashara hapo ndipo wanakukadiria Kodi. Alafu kwenye leseni wanakuuliza ni biashara gani wanakulima pia kwa sababu kila aina ya biashara na kiwango chake.
 
Si kweli hacha kupotosha watu. TIN hutolewa bure. Ila ukishapata TIN then unahitaji leseni ya biashara hapo ndipo wanakukadiria Kodi. Alafu kwenye leseni wanakuuliza ni biashara gani wanakulima pia kwa sababu kila aina ya biashara na kiwango chake.
Rafiki, TIN ya biashara haitoki bila kulipa kodi. Ni kweli utaambiwa TIN ni bure ila kabla hujaipata kodi inakutoka. Naongea kitu nina uhakika na mwezi wa 7 tena imenitokea. Sipotoshi ndg yangu.
 
Ni sawa na kuiuliza shule, ukiffeli mtihani wakati ushalipa ada?

Sababu kubwa za kukosa leseni

1. Hujalipa kodi ( huna tax clearance)
2. Huna sehemu ya kufanyia biashara
3. Hujakamilisha vigezo kama TFDA kwa biashara ya chakula na dawa.

Hayo yote ni majukumu yako na ni vigezo vya kawaida tu!
 
Si kweli hacha kupotosha watu. TIN hutolewa bure. Ila ukishapata TIN then unahitaji leseni ya biashara hapo ndipo wanakukadiria Kodi. Alafu kwenye leseni wanakuuliza ni biashara gani wanakulima pia kwa sababu kila aina ya biashara na kiwango chake.

Wacha kumkaidi, anayosema ni kweli. Hii ni.kuepusha msongamano wa watu waliokuwa hawako serious wanataka TIN number tu.
 
TIN yako ya udereva inabadilishwa na kuwa ya Biashara na mara nyingi unapewa number inabaki ileile.
Kuhusu leseni na TIN inaanza TIN na kitu ambacho Halmashauri wanataka ili wakupe leseni ni tax clearance. So lazima uende TRA then Halmashauri. Ukitaka habari zaidi za kuendesha biashara na makampuni soma uzi huu Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni - JamiiForums


QUOTE="Insabhunsa Gusa, post: 4879535, member: 43805"]SG8,

TIN ya Udereva ndo unatumia kufanyia biashara zingine pia????!!! Mbona mimi nimeambiwa lazima niwe na TIN ingine ili hali ninayo TIN ya Udereva??? Confused.....[/QUOTE]
 
Habari zenu GT! Nina mpango wa kuanzisha biashara ili niweze jikwamua na tatizo la ajira, Naomba kujua nnatakiwa kuanza kupata kipi kati ya TIN (Taxpayer Identification Number) na Leseni ya biashara?
ukishapata tin,wanakupa tax clearance ndiyo itaidhinisha kulipia leseni, bila clearance huwezi pata leseni.
 
Lazima ulipe withholding tax(nafikiri inatokana na kodi ya kupanga) ,,halafu mtajadiliana kukadiria mapato yako ili ulipe kodi.
in summary utalipishwa witholding tax + kodi ya makadirio...
niliambiwa hivyo
Withholding tax tena? Duuh, sasa kama wewe ni mpanagaji unalipaje withholding tax?
 
Ni kweli TIN ya biashara ni tofauti na TIN ya Udereva sijuhi kwanini, ila ndivyo walivyo.
Ukioangalia kwenye ile nyaraka unayojaza unapoomba leseni, kuna mahali panaelezea kama unaomba leseni ya biashara ya kwa ajili ya udereva! Kwa hiyo ukijaza ya udereva, maana yake siyo ya kibiashara, ukitaka kufanya biashara, inabidi ukatoe taarifa, ili waifanyie 'update', ili uendelee na mambo mengine.
 
"TIN hutolewa bure"

inabid uwe na TIN then ndo uanze kufuatilia leseni ya biashara husika.
TIN ya biashara inalipiwa kiwango cha chini kwanza
TIN ya magari ndio bure
TIN ya biashara SIO bure
 

YALE YALE MTU MMOJA tin MBILI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…