ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,055
Si kweli hacha kupotosha watu. TIN hutolewa bure. Ila ukishapata TIN then unahitaji leseni ya biashara hapo ndipo wanakukadiria Kodi. Alafu kwenye leseni wanakuuliza ni biashara gani wanakulima pia kwa sababu kila aina ya biashara na kiwango chake.Inaanza TIN kama walivokwambia wengine,
Ila nikujuze, ukienda kuomba TIN ya biashara lazima wakutoze kodi ya makadilio (Provisional Tax) hata kama biashara haijaanza na hujapata leseni. Imenitokea juzi nikawaambia TRA sasa nikinyimwa leseni na kodi nishalipa itakuwaje?
Hawana jibu, ni lazima ulipe kodi kwanza ndo TIN inatoka