Ipi inafaa kati ya hizi?

Ipi inafaa kati ya hizi?

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
9,890
Reaction score
2,795
Kwa wale wadau ambao mmeshawahi kutumia hizi gari tafadhali naomba technical advice and approach between these 8 pieces hapa. Kindly advise tafadhali which one I should take. First image is Suzuku Swift (ZC/ZD 1320cc) , Second one is Toyota Passo (1300cc) and last is Toyota IST (1290cc) then follows Nissan March and last Toyota Vitz new model. And the remaining three Mazda Demio, VW Polo and Toyota Starlet
images (1).jpgimages (2).jpgimages (3).jpgimages (4).jpgimages (5).jpgMazda Demio.jpgPolo.jpgStarlet.jpg
Your advice and opinion will be much appreciated. ligolyser, grafani11, Madabwada, Jackbauer, Scofied, Osaba, Bujibuji, CYBERTEQ, Dr.Chichi, Wi-Fi, Kizazi jeuri, Steven Robert Masatu, banizle, TIQO, ndiuka, TCleverly, dav22, OLESAIDIMU, UGOKO MKAVU, njiwa, testa, dhk1, Nyangomboli, Jerrymsigwa, kapolo, delusions na pono karibuni jamani tuonyeshe uzoefu. Ahsanteni sana
 
mkupule ushauri wako unahitajika hapo juu. Karibu
 
Last edited by a moderator:
Kwanza Isuzu achanayo kabisaaaa
Ni gari zenye usumbufu sana na na spea zake ghali pia mafundi wengi zinawasumbua sana.Unawezaukajikuta unaiuza kwa milioni mbili na hupati mtu.
Sio mtaalam wa mambo ya ufndi sana kwenye rest of others.
Ila Toyota products mara nyingi hazina matatizo.Regardless of all mie ningesema IST ni nzuri hata kimuonekano na pia hazinywi mafuta.

Acha wataalam wa ufundi waje
 
Mkuu Hekimatele kutokana na uzoefu wa jamaa zangu walionazo, Toyota IST zimetulia, upande wa utumiaji mafuta ni nzuri mno na hazisumbui kuhusu upatikanaji wa vipuri vyake. Toyota Passo na Suzuki Swift ni nzuri sana pia lakini huku mitaani upatikanaji wa vipuri vyake na hata mafundi wetu hawa wengi wao bado changamoto.

Hata hivyo tusubiri wakuu wengine waje watupe uzoefu wao. Nakutakia siku njema.
 
Mkuu mbona hapo katika hizo gari tatu hamna ISUZU hata moja?
Kuna Toyota mbili na Suzuki Swift tu.

Kwanza Isuzu achanayo kabisaaaa
Ni gari zenye usumbufu sana na na spea zake ghali pia mafundi wengi zinawasumbua sana.Unawezaukajikuta unaiuza kwa milioni mbili na hupati mtu.
Sio mtaalam wa mambo ya ufndi sana kwenye rest of others.
Ila Toyota products mara nyingi hazina matatizo.Regardless of all mie ningesema IST ni nzuri hata kimuonekano na pia hazinywi mafuta.

Acha wataalam wa ufundi waje
 
Mkuu Hekimatele kutokana na uzoefu wa jamaa zangu walionazo, Toyota IST zimetulia, upande wa utumiaji mafuta ni nzuri mno na hazisumbui kuhusu upatikanaji wa vipuri vyake. Toyota Passo na Suzuki Swift ni nzuri sana pia lakini huku mitaani upatikanaji wa vipuri vyake na hata mafundi wetu hawa wengi wao bado changamoto.

Hata hivyo tusubiri wakuu wengine waje watupe uzoefu wao. Nakutakia siku njema.

Mkuu nashukuru kwa mchango wako.
 
Mkuu kwa uzoefu wangu choice ya gari hasa magari madogo inategemea pamoja na mambo mengine vigezo vifuatavyo: 1. Aina ya engine mfano FE , FSE ,VVTi na aina nyngine, lengo hapa ni kuona uwezo wa performance za ingine husika , ulaji mafuta na upatikanaji wa spea. kwa hili engine ya passo na ist zina ubora kuliko swift hasa kwa kua zinatengeneka, spea zipo na bei ya spea zake ni affordable. 2. Body style pia ni kigezo mihimu maana magari ni kama fenicha lazima ya show up, so ukiangalia model zote tatu kama utazipa tair nzuri na rim sports kwa maoni yangu passo ina shine zaidi 3. Nature ya barabara zetu maranyingi inatulazimu kuinua kidogo magari yetu kwa kuweka rim pana kidogo na specer ili gari iinuke so hapa utaona ist inakubali hadi rim size 15 wakati make hizo zingine mwisho saiz 14. Ukiangalia show ya ndani kati ya magari haya utaona Passo ina space kubwa na iko kisasa zaidi kuliko ist na swift , angalia dash board ya ist zile openings za ac ziko kama vikombe na ina folds nyingi tofauti na passo iko streamlined zaidi , kwa maoni yangu kwa maisha ya mjini kwa preference inaanza Passo, Ist na mwisho ndo swift
 
Mkuu kotundia nakushukuru sana kwa uchambuzi wako. Natamani wengine waliokwisha tumia aina hizi za magari waje watoe uzoefu wao. Naamini hapa kuna kila aina ya watu wenye uzoefu sana katika kila nyanja. Thanks again bro. Respect.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa uzoefu wangu choice ya gari hasa magari madogo inategemea pamoja na mambo mengine vigezo vifuatavyo: 1. Aina ya engine mfano FE , FSE ,VVTi na aina nyngine, lengo hapa ni kuona uwezo wa performance za ingine husika , ulaji mafuta na upatikanaji wa spea. kwa hili engine ya passo na ist zina ubora kuliko swift hasa kwa kua zinatengeneka, spea zipo na bei ya spea zake ni affordable. 2. Body style pia ni kigezo mihimu maana magari ni kama fenicha lazima ya show up, so ukiangalia model zote tatu kama utazipa tair nzuri na rim sports kwa maoni yangu passo ina shine zaidi 3. Nature ya barabara zetu maranyingi inatulazimu kuinua kidogo magari yetu kwa kuweka rim pana kidogo na specer ili gari iinuke so hapa utaona ist inakubali hadi rim size 15 wakati make hizo zingine mwisho saiz 14. Ukiangalia show ya ndani kati ya magari haya utaona Passo ina space kubwa na iko kisasa zaidi kuliko ist na swift , angalia dash board ya ist zile openings za ac ziko kama vikombe na ina folds nyingi tofauti na passo iko streamlined zaidi , kwa maoni yangu kwa maisha ya mjini kwa preference inaanza Passo, Ist na mwisho ndo swift
kotundia, only one question. Hizi Passo ukiangalia sana utakuta zipo za 990cc na za 1300cc. Which one would you recommend basing on the engine size?
 
Last edited by a moderator:
Ist za kishamba. Suzuki swift kali sana. But am talking of suzuki swift ilyeweka picha yake, isiwe swift old mode
 
nimekusoma mdau faby
hiyo ndiyo haswaaa niliyokuwa namaanisha
 
Last edited by a moderator:
IST kama inaanza kupitwa na wakati hivi.
Passo ndio kila kitu.
Kwanza ina body nzuri, ina space as gia yake ipo katika usukani wanaita 'staff gia' so imeacha space ya kutosha.
Spea zake ni affordable na zinapatikana.
kama unataka kubana matumizi ya mafuta zaidi, chukua passo ya cc990 inakula mafuta vizuri sana.
 
Kwa wale wadau ambao mmeshawahi kutumia hizi gari tafadhali naomba technical advice and approach between these 5 pieces hapa. Kindly advise tafadhali which one I should take. First image is Suzuku Swift (ZC/ZD 1320cc) , Second one is Toyota Passo (1300cc) and last is Toyota IST (1290cc) then follows Nissan March and last Toyota Vitz new model.
View attachment 104917View attachment 104918View attachment 104919View attachment 105236View attachment 105237
Your advice and opinion will be much appreciated. ligolyser, grafani11, Madabwada, Jackbauer, Scofied, Osaba, Bujibuji, CYBERTEQ, Dr.Chichi, Wi-Fi, Kizazi jeuri, Steven Robert Masatu, banizle, TIQO, ndiuka, TCleverly, dav22, OLESAIDIMU, UGOKO MKAVU, njiwa, testa, dhk1, Nyangomboli, Jerrymsigwa, kapolo, delusions na pono karibuni jamani tuonyeshe uzoefu. Ahsanteni sana
Mkuu hekima tele mimi bado mizani yangu inaelemea upande wa Toyota IST na Toyota Vitz New model. Sababu zangu zinabakia pale pale. Huyo aliyesema IST ni za kishamba bado sijamwelewa maana hata kwa mtu mjanja anayejua magari ushamba ni kununua gari ambalo likianza kuhitaji vipuri kupata kwake ni vigumu. Wajanja huwa wanatafiti kwanza kama alivyofanya Mkuu Hekimatele.

Kuna watu wanakurupuka na hela zake za malipo ya pili ya korosho au za mauzo ya pamba mikoani halafu wanakuja Bongo DSM wakikumbana na wajanja wanawauzia 6 cylinders baloons kwa bei kubwa wakati hapa bongo hayana dili. Wakiambiwa makosa yao wanakuwa wakali kweli kweli, ni heri uchukue mashine ya ukweli hata kama nchini hakuna vipuri vyake utaagiza nje watu watakuelewa.
 
nakusoma kaka. Nice advice.
 
IST kama inaanza kupitwa na wakati hivi.
Passo ndio kila kitu.
Kwanza ina body nzuri, ina space as gia yake ipo katika usukani wanaita 'staff gia' so imeacha space ya kutosha.
Spea zake ni affordable na zinapatikana.
kama unataka kubana matumizi ya mafuta zaidi, chukua passo ya cc990 inakula mafuta vizuri sana.

mkuu Ndibalema kuna ongezeko hapo juu. what is your take?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom