Ipi inafaa kati ya hizi?

Ipi inafaa kati ya hizi?

TOYOTA IST nzuri though mimi sio big fan wa vigari vidogo
 
My money on IST or Vitz

Why???!!!!

With Toyota spares and technicians are all over
Spares are cheap (subjectively)
With those engine displacements "to hell with EWURA and weekly announcements"

Suzuki isn't a bad choice but availability of spares for these new models is uncertain,my brother has a suzuki escudo vvti we are facing a challenge in getting shock absorbers

As of my advice Ist stands to be the best,if your budget suffices check the latest model 2008
 
Kwa wale wadau ambao mmeshawahi kutumia hizi gari tafadhali naomba technical advice and approach between these 5 pieces hapa. Kindly advise tafadhali which one I should take. First image is Suzuku Swift (ZC/ZD 1320cc) , Second one is Toyota Passo (1300cc) and last is Toyota IST (1290cc) then follows Nissan March and last Toyota Vitz new model.
View attachment 104917View attachment 104918View attachment 104919View attachment 105236View attachment 105237
Your advice and opinion will be much appreciated. ligolyser, grafani11, Madabwada, Jackbauer, Scofied, Osaba, Bujibuji, CYBERTEQ, Dr.Chichi, Wi-Fi, Kizazi jeuri, Steven Robert Masatu, banizle, TIQO, ndiuka, TCleverly, dav22, OLESAIDIMU, UGOKO MKAVU, njiwa, testa, dhk1, Nyangomboli, Jerrymsigwa, kapolo, delusions na pono karibuni jamani tuonyeshe uzoefu. Ahsanteni sana

hizi gari unapanga kutumiaje??mjini tu au na vijisafari vya mwanza/bukoba??
 
mkuu nahitaji one recommendation out of those picks.
Ndo maana nimeweka hapo. And to answer your question, only for urban use.
Misele ya mujini tu. Maisha ya home-kazini-home-kanisani-vikaoni-misibani-misele ya hela-home-ndugu jamaa uzururaji.
 
go for TOYOTA IST
1.IST ni improved version ya VITS....so u get a better car than vits....
2.PASSO is basically DAIHATSU.....not as reliable as toyota
3.NISSAN MARCH as usual for any nissan running costs are higher than TOYOTA,not reliable as toyota
4.SWIFT....running cost higher than TOYOTA,not RELIABLE as toyota
running cost:nazungumzia spares/servicing since both are very fuel efficient

for those reasons IST comes on top
 
Nakusoma vema kaka. Thanks for the advice
 
yes mkuu Hekima tele, kuhusu engine size ni kweli kuwa magari yenye engine saiz ndogo yanaonekana kula mafuta kidogo , but kitu cha msingi kujua ni kuwa zile cc tunazo soma kwenye engine ni capacity ya engine kujaa kwa mara moja yaani kama unavyosema ndoo ya lita 20 au kisado cha lita 5, but tunapokuja kuzungumzia fuel consumption utaona kuwa inategemea sana hali ya engine yenyewe na mtumiaji mwenyewe kwa maana kwamba kwa engine ambazo tofauti ya capacity yake ni ndogo kama hizi ulizo weka mimi ningeshauri ile ya cc 1300(1290) kwa msingi kwamba inakupa wigo mpana zaidi wa matumizi (strongness) na haitachoka mapema kama hiyo ndogo. Ushauri wangu umeangalia zaidi maisha yetu ya kitanzania ambapo gari hiyi italazimika some time kutembea mbali so itahimili zaidi kuliko injini ndogo. Aidha ili gari isile mafuta zaidi un necessary hakikisha tairi zako zina upepo standard na kama ni automatic gear usipende kusimama muda mrefu gari ikiwa kwenye gia, ukisimama tu weka free itapunguza matumizi ya mafuta na gear box yako itadumu zaidi
 
Kwa wale wadau ambao mmeshawahi kutumia hizi gari tafadhali naomba technical advice and approach between these 5 pieces hapa. Kindly advise tafadhali which one I should take. First image is Suzuku Swift (ZC/ZD 1320cc) , Second one is Toyota Passo (1300cc) and last is Toyota IST (1290cc) then follows Nissan March and last Toyota Vitz new model.
View attachment 104917View attachment 104918View attachment 104919View attachment 105236View attachment 105237
Your advice and opinion will be much appreciated. ligolyser, grafani11, Madabwada, Jackbauer, Scofied, Osaba, Bujibuji, CYBERTEQ, Dr.Chichi, Wi-Fi, Kizazi jeuri, Steven Robert Masatu, banizle, TIQO, ndiuka, TCleverly, dav22, OLESAIDIMU, UGOKO MKAVU, njiwa, testa, dhk1, Nyangomboli, Jerrymsigwa, kapolo, delusions na pono karibuni jamani tuonyeshe uzoefu. Ahsanteni sana

Kabla sijakushauri inapaswa uweke matumizi halisi ya gari yatakuwa yapi.

Kwa upande wangu hizo gari za TOYOTA sitakushauri chochote sababu mimi ni mmoja ya watu wasiyopenda magari yanayotengenezwa na TOYOTA hata liwe zuri vipi.
 
Mkuu mimi ningekushauri uchukue IST ndio nina uzoefu nalo na sijaona tatizo lake kama utapata ambalo mile hazijasoma sana!!
 
Hivi vigari unabebea mzigo wapi na kwa familia zetu za extended ni kama kuwatenga wengine maana havibebi zaidi ya abiria watatu kabla ya kununua kwanza angalia wingi wa wanafamilia yako bora kununua gari kama nooah ila kama ni wewe mwenyewe na familia ndogo sawa ila kwa safari ndefu siyo vyepoesi sana barabarani rahisi kusukumwa na upepo wa malori na mabasi yakikupita na hata mitaa ya same unaweza paishwa na upepo mkali ina elekea pia ni gari za watu mabahili wanaotaka mafuta ya tsh 50 kuelekea mwanza
 
IST kama inaanza kupitwa na wakati hivi.
Passo ndio kila kitu.
Kwanza ina body nzuri, ina space as gia yake ipo katika usukani wanaita 'staff gia' so imeacha space ya kutosha.
Spea zake ni affordable na zinapatikana.
kama unataka kubana matumizi ya mafuta zaidi, chukua passo ya cc990 inakula mafuta vizuri sana.

Huwa sipendelei kuendesha gari za staff gear aisee....
 
Msimamo wangu ni uleule, IST ni nzuri zaidi na spea zipo nyingi, na pia iko very economy ukilinganisha na hayo mengine.
Nina IST na ninatembea kilometa 18 kwa lita

Tatizo bei zake zimesimama juu
 
hekima tele i advice you to purchase I-S-T
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unapoamua kununua gari zingatia pia in case unataka kuuza je litauzika? na je litakuwa na mvuto kwa vijana wa kisasa? binafsi napendekeza i.s.t naona muonekano mzuri pia ni bei kdg ukilinganisha na hizo nyingine. Najua hii gari inauzika tu na pia ni nzuri kwa matumizi ya kawaida tu ofisini-mtoko-home.

Hongera sana kwa kuwa na wazo la kununua gari, ni hatua nzuri
 
IST ndio gari yenye yenye sifa kuanzia show na fuel consumption nahata vipuri sio kwamba ni ghali vipo tele na bei ya kawaida maana ni product ya Toyota.

Huyo anaesma sijui Passo ina nafasi kwani umeambiwa anaenda kubeba mkaa,Gear ya Staff kwani yeye mlemavu,kwanza mie naona Staff gear imakaa kimama zaidi.

Hizo mbili ulizoongezea mie naona zipo zipo.
attachment.php

attachment.php

Kila alienunua basi miezi miwili tu Taa hizo za mbele zilizokaa kama mbilibili zinabadilika rangi na kuwa light brown.Na kufanya show yake yote kuwa sio.
 
yes mkuu Hekima tele, kuhusu engine size ni kweli kuwa magari yenye engine saiz ndogo yanaonekana kula mafuta kidogo , but kitu cha msingi kujua ni kuwa zile cc tunazo soma kwenye engine ni capacity ya engine kujaa kwa mara moja yaani kama unavyosema ndoo ya lita 20 au kisado cha lita 5, but tunapokuja kuzungumzia fuel consumption utaona kuwa inategemea sana hali ya engine yenyewe na mtumiaji mwenyewe kwa maana kwamba kwa engine ambazo tofauti ya capacity yake ni ndogo kama hizi ulizo weka mimi ningeshauri ile ya cc 1300(1290) kwa msingi kwamba inakupa wigo mpana zaidi wa matumizi (strongness) na haitachoka mapema kama hiyo ndogo. Ushauri wangu umeangalia zaidi maisha yetu ya kitanzania ambapo gari hiyi italazimika some time kutembea mbali so itahimili zaidi kuliko injini ndogo. Aidha ili gari isile mafuta zaidi un necessary hakikisha tairi zako zina upepo standard na kama ni automatic gear usipende kusimama muda mrefu gari ikiwa kwenye gia, ukisimama tu weka free itapunguza matumizi ya mafuta na gear box yako itadumu zaidi

Thanks sana mkuu. umeniongezea hapo kwenye kusimamia kwenye gia. I did not know kama ni chanzo kikubwa cha uuaji wa gear box. Na pia kusababisha fuel consumption kuongezeka. Sasa nimekusoma vema. Nitazingatia hilo
 
Kabla sijakushauri inapaswa uweke matumizi halisi ya gari yatakuwa yapi.

Kwa upande wangu hizo gari za TOYOTA sitakushauri chochote sababu mimi ni mmoja ya watu wasiyopenda magari yanayotengenezwa na TOYOTA hata liwe zuri vipi.

Mkuu matumizi ni misele ya hapa hapa mjini mkuu. Maisha halisi ya mtanzania kazini, kanisani, hapa na pale.
Kwa hiyo we una suggest Nissan March hapo au una lingine?
 
Back
Top Bottom