Ipi inakuzingua, ya Preta au ya Rose?

:angry::angry::angry::angry::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2:

Sema bibie, nilikuwa na ongea na binti wa home? umeona nini?:A S 12::A S 12:
 
Sema bibie, nilikuwa na ongea na binti wa home? umeona nini?:A S 12::A S 12:

:crying::crying::crying: Swetie pie, swetie pie sina changu tenaaa:A S confused::A S confused::A S confused::A S confused:
 
:crying::crying::crying: Swetie pie, swetie pie sina changu tenaaa:A S confused::A S confused::A S confused::A S confused:

tulikuwa tunaongea kinyumbani tu,View attachment 19658 kiiraqw kidogo, tena huoni ilikuwa sebuleni kabisa, sijaenda nae chumbani, tena nilimwambia
Maria Roza anakuja sasa hivi, anakujua bana, relaxView attachment 19657siwezi fanyia haya mambo kwenye pics huoni amekaa mbali na mm Afrodenzi
 
kwa kweli nimelipenda sana hilo ua.. asante Baba Raisi

kwenye hiyo card mmmhhh
ndo hizi picha au ni macho yangu tu....

:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:vigele geleeeeeeeeeeeeeee:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:
 
ha ha.....kwanza watueleze ni nini kinaleta shida hapo....tukijua ndio tuwafikirie kama wanakwazika ama lah....bila hivyo.....:nono:

Mkizibadilisha naandamana. Zinatupa raha ndani ya moyo.
 
Niambieni, ipi avatar gani inakuacha hoi? Aliyelala chali ni Preta na anayekonyeza ni Rose.

Mimi zote tamu.

ya preta inaharibu mawasiliano ya mwili mzima, ya Rose inaduwaza kama domo zenge inakuwa ishu. I like both of them, zinafaa :hungry:
 
Duh heading imenishtua.......nkafikiri zao mlishaziona........ kumbe avatar!! zote zinavutia
 
Niambieni, ipi avatar gani inakuacha hoi? Aliyelala chali ni Preta na anayekonyeza ni Rose.

Mimi zote tamu.

Avatar ya Preta Kiboko hiyo miguu hata kama ulikuwa umelala una njaa inakwisha
hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…