Ipi inakuzingua, ya Preta au ya Rose?

Ipi inakuzingua, ya Preta au ya Rose?

hahahahah lol
mbona kiss za shavuni mambo ya kawaida tu....
mmmhhh jamani ..
vipi lakini uporoto uliota jana usiku lol
Baada ya kuniwekea mgongo jana usiku nimechafua shuka zangu nyeupe inabidi baadae upite kuyafua.
 
Baada ya kuniwekea mgongo jana usiku nimechafua shuka zangu nyeupe inabidi baadae upite kuyafua.

mmmhhh dear
kwanini usiweke kwenye ile washing machine niliyo kununulia X-mass?/
hahahah lol
 
Nashukuru kwa michango yenu. Naufunga mjadala huu rasmi, baada ya kugundua hauna tija kwa taifa letu changa la Tanzania. Mungu awabariki kwa mawazo yenu mazuri.

Preta na Rose hongera sana kwa kupendwa na wana MMU.
 
Back
Top Bottom