Ipi inakuzingua, ya Preta au ya Rose?

Nyie shangaeni Avatar tu ila siku mkija kuwaona wenyewe na kukuta ni vibajaji nitawacheka kweli.....
:A S-confused1::A S-confused1::flock:
 
Afrodenzi umeona hizo kiss za shavuni na sweetdreams tu zilivyowatoa watu roho ? wajulishe umebadili avatar baada ya comment yangu wapasuke kabisa lol!

Nami nimebadili ili 'nimpande'. Mi jogoo la mbegu.
 
you look super cool in them red dress
hope ya gettin ready for 14 of feb

of coz naona siku zina kimbia sasa borea nianze kujitayarisha hahah lol..

mmmhh huyo simba ndo kanifanya nijisikia naingia jangoni na gauni langu hahah lol
i like ur new avatar lol
 
Afrodenzi umeona hizo kiss za shavuni na sweetdreams tu zilivyowatoa watu roho ? wajulishe umebadili avatar baada ya comment yangu wapasuke kabisa lol!

hahahahah lol
mbona kiss za shavuni mambo ya kawaida tu....
mmmhhh jamani ..
vipi lakini uporoto uliota jana usiku lol
 
of coz naona siku zina kimbia sasa borea nianze kujitayarisha hahah lol..

mmmhh huyo simba ndo kanifanya nijisikia naingia jangoni na gauni langu hahah lol
i like ur new avatar lol

Jogoo lililosimama halikuvutii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…