Ipi inalipa kati ya Msc. Natural Resource Management au Msc. Environmental Management?

Mshua's

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2013
Posts
804
Reaction score
553
Habari zenu wakuu! Naomba kupatiwa ufafanuzi juu ya program gani itakuwa na future nzuri kati ya hizo nilizozitaja hapo juu. Bwana Mdogo kaniomba ushauri juu ya program ipi kati ya hizo tajwa hapo juu aendelee nayo kwa level ya masters kwa hapa chini. Alisoma BSc. Wildlife Management na ameajiliwa, sasa anataka kutanua wigo kwa kusoma kati ya hizo progam. Tunachotaka kujua ni program ipi ina future nzuri? Halafu hizi progam zinashabihiana kwa kiasi fulani, je "future careers" zake ni zipi ambazo zinazifanya hizi program zitofautiane? Ni hayo tu!
 
Inalipa kwa kutaka kufanya nini? Mshahara mkubwa, upatikanaji ajira, au inalipa kufanya magumashi?
 
Inalipa kwa kutaka kufanya nini? Mshahara mkubwa, upatikanaji ajira, au inalipa kufanya magumashi?


Mkuu hapo nilimaanisha inalipa kwa mshahara mkubwa aidha iwe katika NGO's au katika sector za umma. Pia upatikanaji wa ajira zake na hata mazingira ya kufanyia kazi. Halafu, kama umeangalia vizuri kwenye hiyo post kuna maneno "Future Careers" yanamaanisha mishahara, sehemu za kuajiriwa, na mazingira ya kazi, n.k. Samahani kama sikueleweka vizuri!
 
Mwambie asome kitu anachokiweza, future kwa Tanzania bado siyo predictable sana, mimi nakumbuka niliambiwa UHASIBU unafuture nzuri na niliosoma kwa nguvu zoote na nikafanikiwa kupata mpaka CPA lakini maisha yangu ni ya kawaida sana kuliko hata jirani yangu ambaye ni Askari wa usalama barabarani ambaye enzi zetu alishindwa mtihani wa form six.
 

Aangalie contents za program sio majina.....hata ukiitwa DAVID haimaanishi utakuwa mfalme!
 
All is well do some thing your heart like most kwani ukiwa na mshara mkubwa na ni kitu ambacho hujakichagua what wil you enjoy? All is well.
 


Mkuu hizo programs alizochagua ndio anazoziweza sababu hajachagua chemical engineering,au Msc. Zoology, Botany,Geology, Mathematics n.k... Hizi ni kiboko asikwambie mtu! Pia, nashukuru kwa kunipa facts kuhusu soko la ajilira lilivyo Tanzania.
 
aaaaaall iz weeeeell...


Mkuu inahitajika moja wapo kati ya hizo naomba mchango wako ujikite kuchagua moja tu, halafu ukishachagua utoe na sababu itakayo mshawishi kuchagua kati ya hizo Tunajua all is well that's why we picked from the rest so that you can put your comments between the two.
 

Naomba nikwambie hivi: asante sana kwa maneno yenye wingi wa hekima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…