Mshua's
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 804
- 553
Habari zenu wakuu! Naomba kupatiwa ufafanuzi juu ya program gani itakuwa na future nzuri kati ya hizo nilizozitaja hapo juu. Bwana Mdogo kaniomba ushauri juu ya program ipi kati ya hizo tajwa hapo juu aendelee nayo kwa level ya masters kwa hapa chini. Alisoma BSc. Wildlife Management na ameajiliwa, sasa anataka kutanua wigo kwa kusoma kati ya hizo progam. Tunachotaka kujua ni program ipi ina future nzuri? Halafu hizi progam zinashabihiana kwa kiasi fulani, je "future careers" zake ni zipi ambazo zinazifanya hizi program zitofautiane? Ni hayo tu!