Supervision
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 265
- 203
risk za m.pesa hebu fafanua..ni zipi izoMkuu faida katika hizo biashara zitatofautiana kutokana na mazingira,biashara zote zinalipa ila location tuu ndo ya kuzingatia,but tukizichambua interms of risk m pesa inaongoza kwa risk but vinginevyo eneo ulilopo ndo litadertamine ufungue biashara gsni kati ya hizo.
Nikusaidia kidogo, risk za M-PESA ni kwambarisk za m.pesa hebu fafanua..ni zipi izo
Kaka umenena, asante sanaNikusaidia kidogo, risk za M-PESA ni kwamba
1. Wahudumu wa M-PESA toka Vodacom wengi wao ni wezi, hivyo wakati wa kutoa commissiob mwisho wa mwezi huwa wanakuibia sana...hata uwe makini vipi wao wanaweza wakaweka ukaiona SMS alafu wanaitoa hiyo commission bila kuleta SMS na huwezi gundua.
2. Biashara hii inawindwa sana na majambazi, fuatilia matukio yake....unaweza kuuawa kwa shilingi laki 2 mbili. Wanakuja kukuvamia....jilinde kiusalama
3. Mtoa huduma utakayempatia laini akusaidie anaweza kukuibia au akatokomea na pesa zako kusiko julikana
4. Hii biashara inabidi umuelimishe mkeo sana kuhusu biashara hiyo...maana utakuta mwenzio anaona una pesa nyingi hivyo kuamua kufanya matumizi yasiyo yalazima hatimae mtaji ukaisha
5. Nasisitiza tena wizi wa pesa mtandaoni unafanywa na wahudumu wa M-PESA/Tigo pesa etc...hapa ndio panawavunja sana moyo agent wengi....yaani unaweza ukafanya miamala mingi sana kwa mwezi lakini ikija kwenye malipo ya commission utashangaa...uwe muelewa sana wa biashara hii ya pesa nakusihi sana!
Asanteeeeeepamoja na kuzingatia eneo, restaurant inalipa zaidi
Wao,wazo zuri sanaaaaaaafungua restaurant kwa millioni tano na uweke mpesa hapo hapo kwa millioni tatu!
Asante,nashukuru sanaaaaaaFunguaa duka la reja rejaa na hapoo hapoo dukani unawekaa linee zakoo unapigaa kazii .cha muhimu n kuwekaa mabango yanayoonyeshaa kunaa m pesa na tigo pesaa ...mungu akuongozee ktk hili...
AminaFunguaa duka la reja rejaa na hapoo hapoo dukani unawekaa linee zakoo unapigaa kazii .cha muhimu n kuwekaa mabango yanayoonyeshaa kunaa m pesa na tigo pesaa ...mungu akuongozee ktk hili...
Dah,nashukuru sanaaa,AminaRestaurant inalipa sana, nlienda pemba nkachukua watoto wawil wa kike yan mapish yao ni hatar. Saiv nafungua nyingine tena kinyerez nafkir ushaelewa hapo nini napata
Wadau,
Naomba kwa wale wenye uzoefu wanipe uzoefu wao nina millioni nane nataka kuanzisha kimoja wapo ya vitu vitatu Restaurant, M Pesa. Na duka la rejareja, ikiwezekana viduka vya rejareja viwili kila kiduka kichukue milioni nne.
Ushauri wenu tafadhali