Ipi inalipa kati ya Reustarant na M Pesa?

Ipi inalipa kati ya Reustarant na M Pesa?

Nenda location kafanye mambo, acha kusaka mawazo mawazo humu, hekima ya kimungu ikuongoze, mda mwingine hizi fomula za havad hazifanyi sana kazi kwenye mazingira ya kibongo, watu wamejaza sana nadharia kichwani kuliko uhalisia
 
Back
Top Bottom