Ipi inalipa kati ya Reustarant na M Pesa?

Bora Mimi Kichwa changu Kikubwa kimejaa Makamasi ila Wewe ' Mbichwa ' wako huo Mkubwa kama Kende / Pumbu za Kifaru umejaa tu ' Makohozi ' tupu.

Hatari sana, hadi kifaru tena!! Teh teh, unapenda sifa sana mkuu.
 
Hatari sana, hadi kifaru tena!! Teh teh, unapenda sifa sana mkuu.

Wewe ndiyo umejua leo kuwa napenda sana Sifa? Mbona tokea najiunga hapa JamiiForums miaka mitano iliyopita nilitangaza kuwa napenda Sifa au Wewe ni Mgeni hapa labda?
 
Mkuu biashara ulizosuggest ni kutafutia hela ya mboga ebu sema mkoa uliopo tukupe biashara za kutokea badae uche na kazi uwe mwajiri sio mwajiriwa. Suala la risk hakuna biashara isiyo na risk mzee kuna watu wanafungua mighahawa lakini inakufa pia so every business has it's own risk ndio maana makampuni yaanajiri ma risk managers So ebu taja mkoa uliopo tuone kama tunaweza tuka come up na more best ideas ili 2019 upige pesa mkuu
 
But note this, LOCATION ndio kila kitu kwenye biashara so kabla hujafikiria mambo ya risk kwanza angalia location unayotaka kufungua biashara yako biashara gani ukifungua itapata wateja wengi
 

Mgahawa is the best ...kutegemea na location na huduma utakavyoitoa......lakini zingatia kuna kodi,siyyo chini ya laki2 watu wa fya, TRA nk
 
Location na Mtaji wako ndiyo vitadetermine faida!
 
We kwenda tu
 
Cha msingi ni kuwa umepata Location gani na una uzoefu wa biashara gani? Biashara ni imani kama ilivyo dini. Huwa mtu akiamini biashara moja zingine hafikirii kama na zenyewe ni profitable.

Ningekushauri ufanye kile ambacho una uelewa na uwezo wa kufanya. Biashara zote hizo mchawi ni location tu na vyote waweza fanya kwa pamoja. Achana na hawa washauri wa mitandaoni tafuta watu physically waliofanikiwa kwa hizo biashara wakupe changamoto na namna ya kuendelea.
 
M-pesa
Biashara ya Rest ni pasua kichwa tena achana nayo
 
Mpaka hapo utakuwa ushajua nn cha kufanya cheza na mazingira tuu sasa.
Ungekuwa huku mgodini ungenunua mtungi wa kusaga mawe kwa miez 6 hukosi mil 10 hadi 20 kutegemeana ba bidii yako
Mgodini wapi na huo Mtungi unuzwaje?
 
Mkuu heshima yako, unadhani biashara hii itahitaji mtraji kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…