Tobito JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 2,308 Reaction score 4,165 Oct 21, 2026 #1 Amani na iwe kwetu sote! Humu sijawai kukosa jibu wala jawabu. Mtoto: kike. Umri: 13 Level: form3(2027) uzoefu: hana. Ni ipad gani inamfaa. Masomo na apps zipi nimwekee. sifa yangu mnunuaji: mzazi msomi wa kazamani.
Amani na iwe kwetu sote! Humu sijawai kukosa jibu wala jawabu. Mtoto: kike. Umri: 13 Level: form3(2027) uzoefu: hana. Ni ipad gani inamfaa. Masomo na apps zipi nimwekee. sifa yangu mnunuaji: mzazi msomi wa kazamani.