Ipi kampuni nzuri ya kuagiza gari kutoka nje kati ya SBT na Befoward?

Je, na hao wanotapiliwa inakuwaje? Hebu toeni somo na hapo. Ili mtu asije akatapeliwa tena hela zake za mafao. Unaweza ukatapeliwa kupitia makampuni hayo mliyoytaja au wanaotumia online auction ndio mara nyingi huwa wanatapeliwa?
 
Je nahao wanotapiliwa inakuwaje? Hebu toeni somo na hapo. Ili mtu asije akatapeliwa tena hela zake za mafao. Unaweza ukatapeliwa kupitia makampuni hayo mliyoytaja au wanaotumia online auction ndio mara nyingi huwa wanatapeliwa?
Hayo makampuni, Beforward, SBT, Autocom, yana ofisi zao DSM. Ukiogopa kutapeliwa, basi unaenda kwenye ofisi zao kwa msaada wa karibu. Hata ukiamua ku order online, bado kuna maelekezo ya kutosha kung'amua mbinu za kitapeli, kuna documents wanakuonesha.
 
Kariakoo sehemu gani?
 
Iko vizuri
 
Befoward ni mapaka pori niliagiza nao gari ikawa bomu wakakataa kuwa liable na wanajinasibu kuwa wanafanya ukaguzi (inspection) ya nguvu hukohuko kiufupi wale ni mbwa mwitu kabisa , Tumia Tradecarview sikuhizi wanajiita TCV hao jamaa hutajutia
 
Achana na mahangaiko, ingia trade car view... ambao sahiv wanaitwa TCV..
Hawa jamaa gari zao vinanda, na unapata nafas ya kulia kupunguziwa beii kama upo mtaa wa congo unanunua madela.
 
Befoward ni mapaka pori niliagiza nao gari ikawa bomu wakakataa kuwa liable na wanajinasibu kuwa wanafanya ukaguzi (inspection) ya nguvu hukohuko kiufupi wale ni mbwa mwitu kabisa , Tumia Tradecarview sikuhizi wanajiita TCV hao jamaa hutajutia
Declare ur interest.
 
Asante mkuu, spare unaagiza nje kupitia wao au utaratibu unaendaje?
Spare parts unapata Kwa kuagiza kupitia mtandao wao,ukifika hapo Msimbazi kuna store Yao ya kuuza spare na unaweza kuagiza Kwa kuingia Kwenye mtandao na utachagua spare unavyotaka na utapata ndani ya wiki 3
 
Befoward ni mapaka pori niliagiza nao gari ikawa bomu wakakataa kuwa liable na wanajinasibu kuwa wanafanya ukaguzi (inspection) ya nguvu hukohuko kiufupi wale ni mbwa mwitu kabisa , Tumia Tradecarview sikuhizi wanajiita TCV hao jamaa hutajutia
TCV na Bei zao za kubumba'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…