Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo wamekurahisishia kwa kukupa sales person atakayekupa muongozo wa aina ya Gari (na discount) hata deposit benki unaweza kudeposit CRDB or NBC wao wakatuma Japan (japo utaongeza 30 USD) ya kutumia.Kununua online beforward au kutumia ofisi zao za hapa bongo kuna tofauti ya bei kwenye huduma ?
MangeeeMj motors
Kuna mtu aliniambia una print invoice harafu unawauliza be forward tanzania watakuambia kama ndio wenyewe unalipiaNaomba kuuliza mkuu katika suala la kutapeliwa. Ukiwa umeamua kuagiza gar kampuni ya beforwad kupitia simu yako utajuaje kua site unayotumia ndio sahihi kwa sababu zipo site nyingi za beforwad pia kuna wezi wa mitandao wapo kwaajil ya kufanya utapel.
SahihiSbt ila uwe na agent wako mwenyewe wa kukutolea maana kama hujui taratibu za clear and forwading agent wana agents wao watakupiga bei balaa