brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Mbona washaachana na demu et anamkana paka rapper cku izi et hajawahi lala naeHiki kitoto lazima kichukue pesa yangu walahi, mwenye namba ya Tunda tafadhari anipatie ............Young D hawezi kumpa maisha anayostahili huyo binti.
Hiki kitoto lazima kichukue pesa yangu walahi, mwenye namba ya Tunda tafadhari anipatie ............Young D hawezi kumpa maisha anayostahili huyo binti.
Kitoto kiko poa sana aisee, ngoja nifanye mchakato,ili kile maisha ya hadhi yake.hahahaaaaa,mtafute mkuu,kitoto utafikiri kimechorwa aisee
Umeona eeh, kapo yao ilikuwa bomba sana na angekuwa uraiani ndio ingekuwa kapo inayozungumziwa sanaNamba 8 ilikuwa poa sana
Sema ndo hivyo tena kontena lipo uwanja wa polisi
Yah wapo vizuri sana,ila ukiwaangalia haraka haraka kama mtu na rafiki yakeNamba 5 Aika & Nahreel
Hawa ndio best maana hawatumii nguvu nyingi
Yeah na hawana drama za kijinga wao ni kazi tuYah wapo vizuri sana,ila ukiwaangalia haraka haraka kama mtu na rafiki yake
Kapo ya ajabu sana hiikiba na Kate kate
kwa mtazamo wako....!!Kapo ya ajabu sana hii
Unajuwa hao wahusika wapo humu watakufata na file lako ujute sio wakuchezea hao atiiiLe Mutuz na Mange.
-Kaveli-
Zipo nyingi kama ile yaMmesahau ya Juma Nature na Sinta hizi ndo zilizofungua njia kwa wasanii wa ubongo wa fleva miaka ya 2000's...ilisababisha Nature aimbe "Sitaki Demu" baada ya Mtoto wa Dandu kupora tunda lake
Mkuu umewuwaaaa [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Le Mutuz na Mange.
-Kaveli-