Ipi kapo kali kati ya hizi

Ipi kapo kali kati ya hizi

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
1😀iamond na Wema




1473621141792.jpg





1473621162418.jpg







2😀iamond na Zari



1473621203158.jpg




1473621219368.jpg




1473621229843.jpg





3:Wema na Idriss



1473621268243.jpg





4:Baraka da prince na Najma




1473621319431.jpg





1473621334928.jpg





5:Aika na Nah reel


1473621377459.jpg






1473621388129.jpg






6:Ali kiba na Jokate



1473621414434.jpg






1473621429630.jpg






7:Jux na vanessa




1473621463118.jpg










1473621501389.jpg

1473621487939.jpg






8:Jux na Jack Patrick







1473621545559.jpg




9:Harmonize na Wolper
1473621587419.jpg




10:Tunda na Young D




1473621641199.jpg





1473621689510.jpg





11:Shishi baby na Nuh mziwanda



12:Kajala na P funk
 

Attachments

  • 1473621627009.jpg
    1473621627009.jpg
    41.8 KB · Views: 137
Hiki kitoto lazima kichukue pesa yangu walahi, mwenye namba ya Tunda tafadhari anipatie ............Young D hawezi kumpa maisha anayostahili huyo binti.


hahahaaaaa,mtafute mkuu,kitoto utafikiri kimechorwa aisee
 
Namba 8 ilikuwa poa sana
Sema ndo hivyo tena kontena lipo uwanja wa polisi
Umeona eeh, kapo yao ilikuwa bomba sana na angekuwa uraiani ndio ingekuwa kapo inayozungumziwa sana
 
Mmesahau ya Juma Nature na Sinta hizi ndo zilizofungua njia kwa wasanii wa ubongo wa fleva miaka ya 2000's...ilisababisha Nature aimbe "Sitaki Demu" baada ya Mtoto wa Dandu kupora tunda lake
 
Mmesahau ya Juma Nature na Sinta hizi ndo zilizofungua njia kwa wasanii wa ubongo wa fleva miaka ya 2000's...ilisababisha Nature aimbe "Sitaki Demu" baada ya Mtoto wa Dandu kupora tunda lake
Zipo nyingi kama ile ya


Wema na Mr Blue


Wema na TID



Wema na Q chief


Shilole na young D
 
Back
Top Bottom