Ipi kapo kali kati ya hizi

Mkuu umewuwaaaa [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]


Mkuu, LIFE has a lot of surprise! Inaweza tokea siku Le Mutuz na Mange wakawa kapo. Teh

There is no permanent situation.

-Kaveli-
 
Wanifuate na file langu kwa kosa lipi hasa?

Hujuwi kuwa "Wagombanao ndiyo wapatanao?

Hupendi itokee siku king Le Mutuz na Mange wawe kapo?

-Kaveli-
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mange kasema hataki kudate na masikini sasa ukiangali Le Mutuz ni tia maji tia maji kwahiyo hapo ni impossible mission
Wapatane ila wataishia kuwa marafiki wa kawaida
Nitafurahi kwakweli wakiwa pamoja halafu waje na reality showa yao watauza ujue
 


Yep. In LIFE, you should learn to expect the unexpected!

-Kaveli-
 
Hiki kitoto lazima kichukue pesa yangu walahi, mwenye namba ya Tunda tafadhari anipatie ............Young D hawezi kumpa maisha anayostahili huyo binti.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umenichesha kinoma hako katoto ni kazur aseee yaaan balaaa
 
Kwa chemistry za live, wema na diamond. Yan kapo yao ilkua so sweeet. Walikua wapenzi wanaopendana kidhati machoni mwa wa2, ndan wanajuana wao. Maana maneno hayatambulishi ki2 bali matendo. I wish warudiane
 
Kwa chemistry za live, wema na diamond. Yan kapo yao ilkua so sweeet. Walikua wapenzi wanaopendana kidhati machoni mwa wa2, ndan wanajuana wao. Maana maneno hayatambulishi ki2 bali matendo. I wish warudiane
watarudiana tu hao siku si nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…