BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Shukran mkuu.Barclays na Standard chartered popots duniani utapata huduma zao.
Asante kiongoziStand chartered babalao
Umebugi miss
Asante
Ni kweli kabisa ndugu, ni muhimu kuainisha mahitajio ndipo bank sahihi itashauriwa, kila bank ina uzuri na mapungufu yakeInategemea unachokifuata huko kwenye Bank husika, Kuna Bank za maskini, matajiri na wafanyabiashara wa kimataifa kama ishu ni Transactions za kawaida tu kila bank ina fanya, Specify unahitaji kitu gani? Mikopo ya kimaskini, kitajiri au Import
Duh mkuu kuna benk za neno "kimasikini" ??Inategemea unachokifuata huko kwenye Bank husika, Kuna Bank za maskini, matajiri na wafanyabiashara wa kimataifa kama ishu ni Transactions za kawaida tu kila bank ina fanya, Specify unahitaji kitu gani? Mikopo ya kimaskini, kitajiri au Import
benki ya kitajiri nenda Bank M au Citi BankDuh mkuu kuna benk za neno "kimasikini" ??
Anyway naitaji benki ya "kitajiri"
Shukrani kwa your opinion.benki ya kitajiri nenda Bank M au Citi Bank
Inategemea unachokifuata huko kwenye Bank husika, Kuna Bank za maskini, matajiri na wafanyabiashara wa kimataifa kama ishu ni Transactions za kawaida tu kila bank ina fanya, Specify unahitaji kitu gani? Mikopo ya kimaskini, kitajiri au Import
Bank inayoweza kunifanya ni withdraw pesa kutoka kwenye PAYPAL Acc yangu kwa hapa Tz. Nawasilisha.
Mkuu kwa forex bank gani iko recommended?Hakuna bank hiyo hapa Bongo...
Paypal tuna deposit tu basi
Mkuu kwa forex bank gani iko recommended?
Thanks mkuu.FNB, BancAbc, Equity, Barclays