BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Wasalaam.
Kati ya hizi benki naomba kujua ipi nzuri na kwanini in general kwa upande wa huduma na mengine mengi yanayohusu huduma muhimu za kibenki.
Kama kuna mwingine anajua another international banks zingine nzuri tafadhali ongezea.

- STANBIC
- ECO BANK
- BOA BANK
- STANDERD CHARTERED
- BANK OF BARODA
- BARCLAYS BANK
- FNB BANK
- UBA BANK