KAMUZUBERA
Senior Member
- May 9, 2017
- 194
- 154
FNB,BACLAYS....Mkuu kwa forex bank gani iko recommended?
Asante kiongoziStanbic bank
Na yenye gharama ndogo za uendeshaji, unlimited withdrawals, import na cheap withdraw charges ni ipi yenye sifa hizo na urahisi wa kupata mikopo kibiashara ?benki ya kitajiri nenda Bank M au Citi Bank
ndio zipo, ni micro finance banks, hizo ni bank za wenye kipato kidogoDuh mkuu kuna benk za neno "kimasikini" ??
Anyway naitaji benki ya "kitajiri"
Ukiachana na benki nilizozitaja benki nyingi tanzania zinafanana , tofauti huwa ni ndogo Unaweza enda CRDB , NMB hizo ndio maarufu lakini angalia ni product gani unahitaji kisha unaweza chagua aina ya bank inayokufaaNa yenye gharama ndogo za uendeshaji, unlimited withdrawals, import na cheap withdraw charges ni ipi yenye sifa hizo na urahisi wa kupata mikopo kibiashara ?
Kwa usawa huu bank ya NMB wapo vizuri sana katika ishu za fedha. Maana amana nyingi ya serikali ipo kule na wafanyakazi wengi wanakopa pesa ndogo ndogo ukilinganisha na wafanyabiashara. Kwa iyo watu wengi wanatumia huduma za NMBUkiachana na benki nilizozitaja benki nyingi tanzania zinafanana , tofauti huwa ni ndogo Unaweza enda CRDB , NMB hizo ndio maarufu lakini angalia ni product gani unahitaji kisha unaweza chagua aina ya bank inayokufaa
Nafkiri line ya mwisho ndo cha muhim zaid ...kuacha kuangalia umaarufu bali best bank with best products and best customer careUkiachana na benki nilizozitaja benki nyingi tanzania zinafanana , tofauti huwa ni ndogo Unaweza enda CRDB , NMB hizo ndio maarufu lakini angalia ni product gani unahitaji kisha unaweza chagua aina ya bank inayokufaa
Sio lazima nmb and its not the only best bankKwa usawa huu bank ya NMB wapo vizuri sana katika ishu za fedha. Maana amana nyingi ya serikali ipo kule na wafanyakazi wengi wanakopa pesa ndogo ndogo ukilinganisha na wafanyabiashara. Kwa iyo watu wengi wanatumia huduma za NMB
Msimamo wako kuhusu Bank M ulishabadilika? Au bado ni ya kitajiri?benki ya kitajiri nenda Bank M au Citi Bank