Ipi kati ya hizi BANKS ni nzuri

Ipi kati ya hizi BANKS ni nzuri

Na yenye gharama ndogo za uendeshaji, unlimited withdrawals, import na cheap withdraw charges ni ipi yenye sifa hizo na urahisi wa kupata mikopo kibiashara ?
Ukiachana na benki nilizozitaja benki nyingi tanzania zinafanana , tofauti huwa ni ndogo Unaweza enda CRDB , NMB hizo ndio maarufu lakini angalia ni product gani unahitaji kisha unaweza chagua aina ya bank inayokufaa
 
Kwa usawa huu bank ya NMB wapo vizuri sana katika ishu za fedha. Maana amana nyingi ya serikali ipo kule na wafanyakazi wengi wanakopa pesa ndogo ndogo ukilinganisha na wafanyabiashara. Kwa iyo watu wengi wanatumia huduma za NMB
 
Nafkiri line ya mwisho ndo cha muhim zaid ...kuacha kuangalia umaarufu bali best bank with best products and best customer care
 
Kwa usawa huu bank ya NMB wapo vizuri sana katika ishu za fedha. Maana amana nyingi ya serikali ipo kule na wafanyakazi wengi wanakopa pesa ndogo ndogo ukilinganisha na wafanyabiashara. Kwa iyo watu wengi wanatumia huduma za NMB
Sio lazima nmb and its not the only best bank
 
NMB ni salama kwa kutunza siri za wateja wao?

Mafano uki-diposit milion 100 kila mwaka awawezi leta shida?
 
Back
Top Bottom