ukiajiliwa Kwa ngazi ya diploma ipi inalipa katika halmashauri yoyote kwa vitengo vifuatavyo:-
1)mtendaji kata
2)afisakilimo
3)afisa maendeleo ya jamii
4)uhasibu
5)afisa biashara
natanguliza shukrani.
ukiajiliwa Kwa ngazi ya diploma ipi inalipa katika halmashauri yoyote kwa vitengo vifuatavyo:-
1)mtendaji kata
2)afisakilimo
3)afisa maendeleo ya jamii
4)uhasibu
5)afisa biashara
natanguliza shukrani.