Ipi kati ya hizi imekaa vizuri kwa halmashauri yoyote?

Ipi kati ya hizi imekaa vizuri kwa halmashauri yoyote?

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,215
Reaction score
322
ukiajiliwa Kwa ngazi ya diploma ipi inalipa katika halmashauri yoyote kwa vitengo vifuatavyo:-
1)mtendaji kata
2)afisakilimo
3)afisa maendeleo ya jamii
4)uhasibu
5)afisa biashara
natanguliza shukrani.
 
ukiajiliwa Kwa ngazi ya diploma ipi inalipa katika halmashauri yoyote kwa vitengo vifuatavyo:-
1)mtendaji kata
2)afisakilimo
3)afisa maendeleo ya jamii
4)uhasibu
5)afisa biashara
natanguliza shukrani.

Hamjafika?
 
Back
Top Bottom