Ipi kazi ya Matron siku ya harusi?

Siku ya harusi kazi yake ni kukufutafuta jasho , na mambo mengine kukuweka sawa. pia ni shahidi na msimamizi wa ndoa yenu. Mkipata tatizo na mkashindwa kusuluhisha nyie wenyewe basi mnaanzia kwa wadhamini(wasimamizi) wenu.
Shukrani ndugu
 
Shukrani sana
 
Kazi kubwa ilikuwa kushughudia wakati wa tendo la ndoa kama
bi harusi ni bikira ila mama mzee chema apewe zawadi zake;

Miaka hii naona hawana kazi hiyo tena labda hiyo ya kufuta futa jasho tu;
Nimecheka kweli kweli, imebaki kufuta jasho tu hahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…