Azer Zepha
Member
- Apr 29, 2020
- 29
- 39
Umemalza form 6 hujui unataka nini?Nimepata nafasi ya kuchaguliwa na vyuo viwili hapa Tanzania chuo cha kwanza nimepangiwa kusomea civil engineering na chuo cha pili nimepangiwa kozi ya computer engineeringi..
Wana Jf nipeni ushauri kati ya kozi hizo mbili ipi ni marketable?
Sio tu kamaliza, na kachagua hadi chuo ila bado hajuwi anachotaka😂😂Umemalza form 6 hujui unataka nini?
Msaidie. Nina uhakika hata nyie enzi zenu mlikuwa manasoma tu bila kujua unataka nini. hata vyuo mlijikuta mnasoma kazi walizosoma marafiki zenu.Sio tu kamaliza, na kachagua hadi chuo ila bado hajuwi anachotaka😂😂
🤣🤣🤣🤣Aende ualimu tuSio tu kamaliza, na kachagua hadi chuo ila bado hajuwi anachotaka😂😂
Najua nataka nini toka Niko form 2Msaidie. Nina uhakika hata nyie enzi zenu mlikuwa manasoma tu bila kujua unataka nini. hata vyuo mlijikuta mnasoma kazi walizosoma marafiki zenu.
Ualimu kwa nchi hii hii???🤣🤣🤣🤣Aende ualimu tu
Vijana wa siku hizi ovyo sana, si ajabu atamwambia mzazi wake ampeleke chuo kuripoti.Sio tu kamaliza, na kachagua hadi chuo ila bado hajuwi anachotaka😂😂
Tangu naingia kidato cha kwanza najuwa kabisa nataka kitu ganiMsaidie. Nina uhakika hata nyie enzi zenu mlikuwa manasoma tu bila kujua unataka nini. hata vyuo mlijikuta mnasoma kazi walizosoma marafiki zenu.
Na ukute ni mzazi ndiye kamwambia achague kati ya hizo kozi😂😂😂Vijana wa siku hizi ovyo sana, si ajabu atamwambia mzazi wake ampeleke chuo kuripoti.
Hongera yakoTangu naingia kidato cha kwanza najuwa kabisa nataka kitu gani
Sasa unanishauri au unanisimangaUmemalza form 6 hujui unataka nini?
Bora tyu usinge reply hizo dharau bro.....kwan we unachotaka umekipataSio tu kamaliza, na kachagua hadi chuo ila bado hajuwi anachotaka😂😂
Yan kuna watu wana ka upumbav au kaujinga flan ivi yan badala ajibu kwa ustaarabu kilichoandikwa anajib shitVijana wa siku hizi ovyo sana, si ajabu atamwambia mzazi wake ampeleke chuo kuripoti.