Hongera kwa kuchaguliwa kwanza wengi tu hawajapata iyo nafasi pili hebu jitahid mambo yako muhim kwenye maisha yanayochukua mustakabal mzima wa maisha yako kuwa na maamuzi ww mwenyew acha haya mambo ya kuja kuomba msaada mitandaon jaribu kuomba hata kwa watu wako wa karibu kama wana idea au walimu wako wa shule ulizomaliza yaan o level na A level huku sio sehem ya kukupa ushaur juu ya maisha yako kinachotokea ndo icho unachokipata mwisho kabisa kuwa na maamuzi ww mwenyew binafsi ili hata huko mbele ukija kushindwa inakuwa unailaum nafsi yako ambayo kibinadam haiumizi sn tofaut kuanza kulaum mtu kwann alinishaur kuchagua kozi flan inafikia kipind utataman kujiua me ushaur wang n huo