Ipi kozi bora kati ya Computer Engineering na Civil Engineering?

Ipi kozi bora kati ya Computer Engineering na Civil Engineering?

Sasa unanishauri au unanisimanga
Mzee ulikua form two ukawa na chaguo sayansi,art or business ikaingia form 4 unachagua pcm,PCB,pgm,cbg uende wap means tyr ulkua na kitu unawaza ukachagua pcm,pgm KO umemaliza umeapply engineer ndo maana umepata izo mbili kwahiyo kwny uhalisia wewe ulkua unawaza Tu kua engineer in general ambayo kimtaan ukisema engineer wanawaza road,malengo,madaraja KO na wewe ndo uliwaza uko nadhani naamini maswala ya code utakua huyajui ko nenda civil
 
Hongera kwa kuchaguliwa kwanza wengi tu hawajapata iyo nafasi pili hebu jitahid mambo yako muhim kwenye maisha yanayochukua mustakabal mzima wa maisha yako kuwa na maamuzi ww mwenyew acha haya mambo ya kuja kuomba msaada mitandaon jaribu kuomba hata kwa watu wako wa karibu kama wana idea au walimu wako wa shule ulizomaliza yaan o level na A level huku sio sehem ya kukupa ushaur juu ya maisha yako kinachotokea ndo icho unachokipata mwisho kabisa kuwa na maamuzi ww mwenyew binafsi ili hata huko mbele ukija kushindwa inakuwa unailaum nafsi yako ambayo kibinadam haiumizi sn tofaut kuanza kulaum mtu kwann alinishaur kuchagua kozi flan inafikia kipind utataman kujiua me ushaur wang n huo
 
Back
Top Bottom