Ipi namna bora ya kukabiliana na bosi mkorofi?

Ipi namna bora ya kukabiliana na bosi mkorofi?

Hiv
Vitu ambayo havijadiliki ofisini 100% ni majungu tu ayo acha umbea Mzee, Huyo jamaa anakutumia tu kupata taarifa za ofisi ila anajua wewe kichwa panzi ndio mana akiwaka anakuzingua,
Anajua hata yeye utakuwa unabeba mambo yake na kupeleka uko ivo acha izo tabia na Fanya kazi za watu naurudi mtaani,
epuka maisha yoyote yale na Coworkers nje ya ofisi
Jombaa hivi umeelewa kilicho andikwa toka mwanzo au ndo umeamua kujibu tu ili mradi,kwa kifupi huna ushauri wa kuniambia hata kidogo kwa comment hiyo na usikalilishe kila mfanyakazi hapaswi kuongea na bosi wake elewa hoja then ujibu kwa mantiki inayoeleweka.
 
Ameshakujibu vizuri tu, ya kwenye pombe usilete kwenye uhalisia. Kuna watu wakilewa wanakuwa wajinga.

La kufanya hapo acha kwenda nae bar. Afu unaenda bar na boss? Nani alikwambia kazini kuna kuweka ushost? Siku yako yaja..
Kwanza Boss unajenga nae vipi mazoea? Watu wanawezaje?
 
Kuna aina ya mabosi wana tabia ya back bitting and innuendos yaana kuuma kupuliza na majungu.
Usije kuta boss shida yake uwe unamuambia habari za wafanyakazi wenzako kama tabia ya maboss wa nchi ya Ghana.
Hata hivyo kuna usemi ukiona mfanyakazi anakuwa na ukaribu sana na boss wake kuliko watu wengine lazima kuna interest wana share pamoja.
Epuka kuwa very close na boss wako siku akikugeuzia kibao utabaki na manyoya angalia wafanyakazi wenzako wasije kukuchukia.
 
Hiv

Jombaa hivi umeelewa kilicho andikwa toka mwanzo au ndo umeamua kujibu tu ili mradi,kwa kifupi huna ushauri wa kuniambia hata kidogo kwa comment hiyo na usikalilishe kila mfanyakazi hapaswi kuongea na bosi wake elewa hoja then ujibu kwa mantiki inayoeleweka.
Mbona amekujibu vizuri tu?

Umetaka maoni ya wana JF hivyo heshimu maoni ya wachangiaji kisha chagua yanayokufaa,

Hio issue yako,tatizo ni wewe wala sio huyo boss,

Maintaining a professional relationship keeps you and your boss from having to navigate complex emotions or conflicts of interest that can damage your work performance and professional reputation.
 
Wakuu Habari ya Muda huu nimekuja na mada hii lengo ni kupeana ushauri jinsi ya kupambana na bosi mkorofi.

Naanza mimi nipo chini ya bosi mmoja hivi ufanyaji wetu wa kazi huanzia Jumatatu mpaka Ijumaa jioni lakini kuna siku kazi zikitokea hadi Jumamosi majira alasiri tunakuwa tumetoka, sasa baada ya kutoka bosi huwa anataka tutoke twende mtaani tukapige stories na bia mbili tatu ni kama namna ya kuenjoy kazi yetu.

Shida inakuja akipiga vyombo tu vikamnasa anakuwa mkali saana kwangu pengine hata na kwa wengine, juu yangu anakuwa mkali mkorofi anaongea maneno ambayo namna moja ama yingine unaweza kudhani lada tuna ugomvi.

Kuna siku tulipokuwa wazima hii sasa ilikuwa ni Jumatatu nilimuuliza as a bro sasa kwamb kaka ukipiga bia unanifokea sana ni kama unaona huyu ndo nammudu so hasira zangu namalizia kwa huyu huyu ni kwanini?

Akajibu nisamehe mdogo wangu ni pombe please ya twende pombe tusiyalete kwenye maisha ya uhalisia, basi tukawa tumemaliza kwa namna hiyo.

Sasa bhna juzi tena karudia mchezo huo huo kanywa kaanza kuleta maneno mi nikamwambia inabidi sasa tuwe tunatoka kila mtu na kampani yake tu, tukitoka mimi na wewe inakuwa tatizo, mimi ni mfanyakazi wako siku utaongea neno baya nitachukia ntakukosea heshima mwisho nipoteze kazi.

Akasema dogo nisamehe sana kweli nakuonea basi ikaisha hivo, mimi sio muongeaji na pia sina tabia za ugomvi kabisa lakini kama binadamu nikiudhiwa nakasirika.

Sasa wakuu tupeane mbinu zaidi za kudili na hawa mabosi wa aina hii, nawasilisha.
Simple tu...mtombee binti yake atatulia tu na atakuheshimu!
 
Hiv

Jombaa hivi umeelewa kilicho andikwa toka mwanzo au ndo umeamua kujibu tu ili mradi,kwa kifupi huna ushauri wa kuniambia hata kidogo kwa comment hiyo na usikalilishe kila mfanyakazi hapaswi kuongea na bosi wake elewa hoja then ujibu kwa mantiki inayoeleweka.
Endelea kulewa nae akutukane
 
Labda niongezee jambo moja kwamba mimi na bosi kuna kuwa kuna mazungumzo ambayo tunaweza kuzungumza tukiwa nje ya kazi hivo kuna muda ndio tunatoka kama hivo Ili kusudi tupate mwanya wa kuweka mikakati vizuri thus y tunaweza kwenda bar ni hilo.

Fanyeni kikao hicho sehemu msiyokunywa mipombe kisha baada ya hapo ondoka zako, vinginevyo mtakoseana heshima.
 
Tafuta namna nyngn ya kujiingzia kpato nje ya ajira hiyo fungua biashara wekeza nguvu uko mfano saloon hata ya kike weka wanawake wapge kazi, mgahawa, chips nk lengo n kwmb unajiandaa wkt wowote kuachishwa kaz au kutemana na iyo kazi.
 
Huwezi kujisimamia kumkataa boss ukafanye mambo yako weekend?
 
Back
Top Bottom