Super mega
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 1,176
- 2,372
- Thread starter
-
- #21
Jombaa hivi umeelewa kilicho andikwa toka mwanzo au ndo umeamua kujibu tu ili mradi,kwa kifupi huna ushauri wa kuniambia hata kidogo kwa comment hiyo na usikalilishe kila mfanyakazi hapaswi kuongea na bosi wake elewa hoja then ujibu kwa mantiki inayoeleweka.Vitu ambayo havijadiliki ofisini 100% ni majungu tu ayo acha umbea Mzee, Huyo jamaa anakutumia tu kupata taarifa za ofisi ila anajua wewe kichwa panzi ndio mana akiwaka anakuzingua,
Anajua hata yeye utakuwa unabeba mambo yake na kupeleka uko ivo acha izo tabia na Fanya kazi za watu naurudi mtaani,
epuka maisha yoyote yale na Coworkers nje ya ofisi
Nadhan hii imekaa sawaAcha kutoka na boss wako
Kwanza Boss unajenga nae vipi mazoea? Watu wanawezaje?Ameshakujibu vizuri tu, ya kwenye pombe usilete kwenye uhalisia. Kuna watu wakilewa wanakuwa wajinga.
La kufanya hapo acha kwenda nae bar. Afu unaenda bar na boss? Nani alikwambia kazini kuna kuweka ushost? Siku yako yaja..
πππππIpo siku atakuomba Tako alafu asingizie pombe.. nimekaa pale.
Mbona amekujibu vizuri tu?Hiv
Jombaa hivi umeelewa kilicho andikwa toka mwanzo au ndo umeamua kujibu tu ili mradi,kwa kifupi huna ushauri wa kuniambia hata kidogo kwa comment hiyo na usikalilishe kila mfanyakazi hapaswi kuongea na bosi wake elewa hoja then ujibu kwa mantiki inayoeleweka.
Simple tu...mtombee binti yake atatulia tu na atakuheshimu!Wakuu Habari ya Muda huu nimekuja na mada hii lengo ni kupeana ushauri jinsi ya kupambana na bosi mkorofi.
Naanza mimi nipo chini ya bosi mmoja hivi ufanyaji wetu wa kazi huanzia Jumatatu mpaka Ijumaa jioni lakini kuna siku kazi zikitokea hadi Jumamosi majira alasiri tunakuwa tumetoka, sasa baada ya kutoka bosi huwa anataka tutoke twende mtaani tukapige stories na bia mbili tatu ni kama namna ya kuenjoy kazi yetu.
Shida inakuja akipiga vyombo tu vikamnasa anakuwa mkali saana kwangu pengine hata na kwa wengine, juu yangu anakuwa mkali mkorofi anaongea maneno ambayo namna moja ama yingine unaweza kudhani lada tuna ugomvi.
Kuna siku tulipokuwa wazima hii sasa ilikuwa ni Jumatatu nilimuuliza as a bro sasa kwamb kaka ukipiga bia unanifokea sana ni kama unaona huyu ndo nammudu so hasira zangu namalizia kwa huyu huyu ni kwanini?
Akajibu nisamehe mdogo wangu ni pombe please ya twende pombe tusiyalete kwenye maisha ya uhalisia, basi tukawa tumemaliza kwa namna hiyo.
Sasa bhna juzi tena karudia mchezo huo huo kanywa kaanza kuleta maneno mi nikamwambia inabidi sasa tuwe tunatoka kila mtu na kampani yake tu, tukitoka mimi na wewe inakuwa tatizo, mimi ni mfanyakazi wako siku utaongea neno baya nitachukia ntakukosea heshima mwisho nipoteze kazi.
Akasema dogo nisamehe sana kweli nakuonea basi ikaisha hivo, mimi sio muongeaji na pia sina tabia za ugomvi kabisa lakini kama binadamu nikiudhiwa nakasirika.
Sasa wakuu tupeane mbinu zaidi za kudili na hawa mabosi wa aina hii, nawasilisha.
Endelea kulewa nae akutukaneHiv
Jombaa hivi umeelewa kilicho andikwa toka mwanzo au ndo umeamua kujibu tu ili mradi,kwa kifupi huna ushauri wa kuniambia hata kidogo kwa comment hiyo na usikalilishe kila mfanyakazi hapaswi kuongea na bosi wake elewa hoja then ujibu kwa mantiki inayoeleweka.
Si ndio au unaonaje utabiri wangu..πππππ
Labda niongezee jambo moja kwamba mimi na bosi kuna kuwa kuna mazungumzo ambayo tunaweza kuzungumza tukiwa nje ya kazi hivo kuna muda ndio tunatoka kama hivo Ili kusudi tupate mwanya wa kuweka mikakati vizuri thus y tunaweza kwenda bar ni hilo.
πππ sina neno mie.Si ndio au unaonaje utabiri wangu..