Ipi namna rahisi ya kufika Kigali kutokea Dar?

Ipi namna rahisi ya kufika Kigali kutokea Dar?

Air Rwanda au chukua basi mpaka kahama. Kahama chukua gari ndogo inaitwa sahani mpaka Rusumo mpakani, then vuka boarder chukua gari inaitwa matunda mpaka Kigali
 
Back
Top Bottom