Panda ndege. Hio ndio njia rahisi.Naomba kujua namna rahisi ya kufika Kigali from Dar.
Sina hakika lakini nafikiri alimaanisha less expensive kwa kusema rahisi.Panda ndege. Hio ndio njia rahisi.
Panda ndege air RwandaUnaweza kupanda Rwanda air from Dar to Kigali Via Kilimanjaro
ThanksAir Rwanda au chukua basi mpaka kahama. Kahama chukua gari ndogo inaitwa sahani mpaka Rusumo mpakani, then vuka boarder chukua gari inaitwa matunda mpaka Kigali