Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,117
- 1,966
Katika maisha ya ndoa lazima mkwaruzano uwepo wa hapa na pale
Na mwanamke anaweza akakukosea na mwanaume ukataka umpe adhabu ili naye aumie,ajutie kosa lake ili asije akalirudia tena
Ipi adhabu inaweza ikamuumiza mwanamke
1) Kutofanya naye mapenzi kwa wiki kadhaa huku unalala na nguo
2) Kususa kula chakula alichopika kila akikukaribisha unamwambia nimeshiba ila kila siku unatoa hela ya matumizi
3) kumtishia kuoa mke mwingine
4) kununa wiki nzima bila kuongeleshana
5) kumgombeza kwa maneno makali
Sent using Jamii Forums mobile app