Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 86,410 Reaction score 169,862 Aug 23, 2018 #41 Tukigombana tunapatana kabla ya kulala. Adhabu nzuri ni kumpenda zaidi.
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Aug 23, 2018 #42 Nokia83 said: Siwezi kukosana na mpenz wangu halaf nisuse kufanya nae matusi Click to expand... Tena mie ndio nitazidisha dozi kutwa Mara tano
Nokia83 said: Siwezi kukosana na mpenz wangu halaf nisuse kufanya nae matusi Click to expand... Tena mie ndio nitazidisha dozi kutwa Mara tano
devcon JF-Expert Member Joined Feb 2, 2015 Posts 359 Reaction score 384 Aug 23, 2018 #43 Adhabu ya mwanamke inategemea na aina ya mwanamke mwenyewe,,wengine ukimnyima tendo la ndoa ndo anafurahi. Sent using Jamii Forums mobile app
Adhabu ya mwanamke inategemea na aina ya mwanamke mwenyewe,,wengine ukimnyima tendo la ndoa ndo anafurahi. Sent using Jamii Forums mobile app
tremendous JF-Expert Member Joined Aug 12, 2016 Posts 3,237 Reaction score 5,315 Aug 23, 2018 #44 Mwanaume mwenye busara hawezi kuappy adhabu hizo ulizotaja.
The-unknown JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 1,228 Reaction score 1,447 Aug 23, 2018 #45 Nahisi ni kukaa kimya na kuact normal Humpigi wala kugomba na hata kumuuliza kuhusu kosa, naamini iko siku atakuomba msamaha mwenyewe Sent from my iPhone using JamiiForums
Nahisi ni kukaa kimya na kuact normal Humpigi wala kugomba na hata kumuuliza kuhusu kosa, naamini iko siku atakuomba msamaha mwenyewe Sent from my iPhone using JamiiForums