Hahahahaha! UmetishaSiwezi kukosana na mpenz wangu halaf nisuse kufanya nae matusi
Ila unaweza fanya moja kati ya hvo ili kumtisha..Visasi havijengi mahusiano yoyote
Inaua mahusiano jambo la msingi kama amekuomba msamaha msamehe tuIla unaweza fanya moja kati ya hvo ili kumtisha..
Mm nahama chumba kama ana akili atajifikiria
ewaaaaaa umenena kitu cha maana sanaYote ayo mambo ya kike mwaoaume hawezi fanya
Labda wa kwako,wengine wakisewa anabaki analia na kulala chumba kingine au kulala na nguo huku hataki aguswe,wanaume kuna muda inabidi tuapply machenics zingineAdhabu pekee kwa mwanamke hadi ashike adabu zake ni; Kumpiga khanga pea 2 na Wax Og pea 2. Halafu unamwambia NAKUPENDA SANA.
Tafuta hela umtoe out, ale anachotaka na umbusubusu kila mara. Nakuambia, atashika adabu yake. Mbona wao hutupiga kwa kujimwaga mbele yetu usiku kucha akidai umwonyeshe alichokupungukia hadi uchepuke??
Labda wa kwako,wengine wakisewa anabaki analia na kulala chumba kingine au kulala na nguo huku hataki aguswe,wanaume kuna muda inabidi tuapply machenics zingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika maisha ya ndoa lazima mkwaruzano uwepo wa hapa na pale
Na mwanamke anaweza akakukosea na mwanaume ukataka umpe adhabu ili naye aumie,ajutie kosa lake ili asije akalirudia tena
Ipi adhabu inaweza ikamuumiza mwanamke
1) Kutofanya naye mapenzi kwa wiki kadhaa huku unalala na nguo
2) Kususa kula chakula alichopika kila akikukaribisha unamwambia nimeshiba ila kila siku unatoa hela ya matumizi
3) kumtishia kuoa mke mwingine
4) kununa wiki nzima bila kuongeleshana
5) kumgombeza kwa maneno makali