Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Ingawa sijwahi kutumia deepseek lkn kwa maelezo yako naona unyama mwingiNimetumia ChatGPT na DeepSeek haya ndiyo niliyojifunza:
Unajua ukitumia ChatGPT is like asking a very knowledgeable person with lots of stored information to do a calculus problem for you
Lakini mara zote ninapotumia Deepseek is like asking a Calculus professor to do it for you
DeepSeek mara zote imekuwa bora kwangu kwenye depth data analysis
Kuna watu wengine wamekuwa wakitumia DeepSeek kwenye coding problems hawataki tena kusikia uchafu wa ChatGPT
Kwenye issue za kiacademic hapo ndipo the real strength ya DeepSeek ilipo, nazungumzia the thinking process DeepSeek iko more interactive
Nyinyi majanja hamtaweza kunielewa ila kwa sisi tunaocheza na AI kwenye masuala ya academic huwa mwanetu ni DeepSeek, huyu nyangumi achana naye salute kwake
Na hapo nazungumzia Version ya R-1
Sasa Mchina katoa V3.1 mwezi huu
Huu ni unyama wa V3.1:
- Hybrid inference: Think & Non-Think β one model, two modes
- β‘οΈ Faster thinking: DeepSeek-V3.1-Think reaches answers in less time vs. DeepSeek-R1-0528
- π οΈ Stronger agent skills: Post-training boosts tool use and multi-step agent tasks
Hapo mbanga zote za legal docs analysis, technical coding, research assistance zimelala
Kwangu nyangumi atabaki kuwa AI bora zaidi
cha kwanza hizo sio AI znaitwa chatbots, AI ni lugha ya biashara kupumbaza watu!
alafu kujibu swali lako, kunakuaga na test inafanyika kila release mpya inapotoka hivo kama uko serious na hizi chatbots basi jibu ni GR
Mbona Deepseek unanishawishi nayoNimetumia ChatGPT na DeepSeek haya ndiyo niliyojifunza:
Unajua ukitumia ChatGPT is like asking a very knowledgeable person with lots of stored information to do a calculus problem for you
Lakini mara zote ninapotumia Deepseek is like asking a Calculus professor to do it for you
DeepSeek mara zote imekuwa bora kwangu kwenye depth data analysis
Kuna watu wengine wamekuwa wakitumia DeepSeek kwenye coding problems hawataki tena kusikia uchafu wa ChatGPT
Kwenye issue za kiacademic hapo ndipo the real strength ya DeepSeek ilipo, nazungumzia the thinking process DeepSeek iko more interactive
Nyinyi majanja hamtaweza kunielewa ila kwa sisi tunaocheza na AI kwenye masuala ya academic huwa mwanetu ni DeepSeek, huyu nyangumi achana naye salute kwake
Na hapo nazungumzia Version ya R-1, sasa Mchina katoa V3.1 mwezi huu
Huu ni unyama wa V3.1:
- Hybrid inference: Think & Non-Think β one model, two modes
- β‘οΈ Faster thinking: DeepSeek-V3.1-Think reaches answers in less time vs. DeepSeek-R1-0528
- π οΈ Stronger agent skills: Post-training boosts tool use and multi-step agent tasks
Hapo mbanga zote za legal docs analysis, technical coding, research assistance n.k zimelala
Kwangu nyangumi atabaki kuwa AI bora zaidi
Kuna hii grok ya X ipo vizuri zaidi ya yote kwa sababu ile inauwezo mkubwq wa kuchambua mambo ata issue current zinazoendelea grok anatambua .Nimetumia ChatGPT na DeepSeek haya ndiyo niliyojifunza:
Unajua ukitumia ChatGPT is like asking a very knowledgeable person with lots of stored information to do a calculus problem for you
Lakini mara zote ninapotumia Deepseek is like asking a Calculus professor to do it for you
DeepSeek mara zote imekuwa bora kwangu kwenye depth data analysis
Kuna watu wengine wamekuwa wakitumia DeepSeek kwenye coding problems hawataki tena kusikia uchafu wa ChatGPT
Kwenye issue za kiacademic hapo ndipo the real strength ya DeepSeek ilipo, nazungumzia the thinking process DeepSeek iko more interactive
Nyinyi majanja hamtaweza kunielewa ila kwa sisi tunaocheza na AI kwenye masuala ya academic huwa mwanetu ni DeepSeek, huyu nyangumi achana naye salute kwake
Na hapo nazungumzia Version ya R-1, sasa Mchina katoa V3.1 mwezi huu
Huu ni unyama wa V3.1:
- Hybrid inference: Think & Non-Think β one model, two modes
- β‘οΈ Faster thinking: DeepSeek-V3.1-Think reaches answers in less time vs. DeepSeek-R1-0528
- π οΈ Stronger agent skills: Post-training boosts tool use and multi-step agent tasks
Hapo mbanga zote za legal docs analysis, technical coding, research assistance n.k zimelala
Kwangu nyangumi atabaki kuwa AI bora zaidi
Naunga mkono hojaMicrosoft copilot,Grok,Gemini
hii ni tamuMicrosoft copilot,Grok,Gemini
mashine itakosaje kukuoseambona hizi AI hutofautiana majibu na wakati mwingine hukosea majibu?
Mkuu hata Mimi nakuunga mkono,na ninaongezea ushauri juu yako,Usitumie simu itakulemaza ,usitumie basikeli Wala pikipiki au magari maana yanakufanya uwe mzembe,badala ya kutumia usafiri wa gari kutoka mwanza kwenda Dar,wewe tembea tu ili uonekane shujaa.Usitumie AI mkuu itakupumbaza
Lkn bado wamuunga mkono ππππMkuu hata Mimi nakuunga mkono,na ninaongezea ushauri juu yako,Usitumie simu itakulemaza ,usitumie basikeli Wala pikipiki au magari maana yanakufanya uwe mzembe,badala kutumia usafiri wa gari kutoka mwanza kwenda Dar,wewe tembea tu ili uonekane shujaa.
Watu wako busy kuyarahisisha maisha wewe mwananchi wa magulukenda unataka yawe magumu
Story na maswali mengine yote ispokuwa coding, chatgpt... Coding hasa lines kibao deepseek
DeepSeek mara zote imekuwa bora kwangu kwenye depth data analysis
- Nukuu muhimu hii, itunzwebadala kutumia usafiri wa gari kutoka mwanza kwenda Dar,wewe tembea tu ili uonekane shujaa.
Hiyo ni kejeli kwa watu wa fasihiπLkn bado wamuunga mkono ππππ