brawn shao
Member
- May 8, 2014
- 62
- 50
Hii inawahusu hasa wauzaji na wasambazaji wa pikipiki, na TRA
SWALi.......kwenu
napenda kujua bei halali ukitaka kununua pikipiki hizi za 150cc mfano-: Toyo,Kinglion na zinginezo
..........
Nimeuliza kwa sababu juzi mshikaji wangu alinunua pikipiki (kinglion 150cc) kwa shilingi 1.64 mil..... Ila chakushangaza alipewa risiti ya sh 1.2 mil...
Baada ya kuchunguza mimi mwenyewe niligundua huu mchezo upo sana hasa kwa wauzaji wengi........
Hivi TRa mnalitambua hilo????
Enyi wauzaji why mnalaghai walalahoi na watz wenzenu????
Tafadhali kwa yyte anaejua bei elekezi atusaidie maana nimeshindwa kwenda kulalamika coz cjui bei halali
ni hyo tu Wanajamvi..........