IPI NI BEST RINGTONES YAKO;

Mimi nilishaga shindwa kuweka nyimbo ringtone yaani watu wanaoweka nyimbo ringtones nawaonaga wametokea sengerema.

Ringtone naweka ringtone, zikinichosha zilizopo kwenye simu nta download ringtone zingine na add zikinichosha pia naweka vibrations lakini sio simu inaita tetema mara kanyaga
 
mimi ile inalia tililili tililili liiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, tililili tililili liiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sijui ndio inaitwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…