fikirijohnas
Member
- Nov 10, 2018
- 46
- 29
Habari za usiku huu ndugu zangu. Nina mawazo juu ya biashara aina tatu
1. Vifaa vya umeme mfano nyaya, sockets, extensions nk
2. Vifaa vya simu mfano screens, protectors,covers, chargers nk
3. Pipi au peremende/candy,biscuits za bei ya jumla na rejareja.
Naomba kwa uzoefu wenu nifanye biashara gani kati ya hizo ambayo ina mzunguko mkubwa, isiyo na usumbufu na inayoweza kunipatia faida ya haraka.
Mtaji wangu ni mil 2 na niko Simiyu.
Ahsanteni