Ipi ni biashara nzuri kati ya hizi?

Ipi ni biashara nzuri kati ya hizi?

fikirijohnas

Member
Joined
Nov 10, 2018
Posts
46
Reaction score
29
Habari za usiku huu ndugu zangu. Nina mawazo juu ya biashara aina tatu

1. Vifaa vya umeme mfano nyaya, sockets, extensions nk
2. Vifaa vya simu mfano screens, protectors,covers, chargers nk
3. Pipi au peremende/candy,biscuits za bei ya jumla na rejareja.

Naomba kwa uzoefu wenu nifanye biashara gani kati ya hizo ambayo ina mzunguko mkubwa, isiyo na usumbufu na inayoweza kunipatia faida ya haraka.

Mtaji wangu ni mil 2 na niko Simiyu.

Ahsanteni
 
Habari za usiku huu ndg zangu
Nina mawazo juu ya biashara aina tatu
Biashara ya umeme na vifaa vya simu inahitaji upate sehem iliyochangamka sana ndo itakulipa kwa huo mtaji

Hiyo ya pipi sina experience nayo
 
Ahsanteni sana ndg
2m kwa hali ya uchumi wa Tanzania sasa ni Hela ndogo ana ...so kwa biashara yoyote utakayokua umeamua kufanya tafuta sehemu yenye mzunguko mkubwa (muingiliano mkubwa wa watu)
 
Habari za usiku huu ndugu zangu. Nina mawazo juu ya biashara aina tatu

1. Vifaa vya umeme mfano nyaya, sockets, extensions nk
2. Vifaa vya simu mfano screens, protectors,covers, chargers nk
3. Pipi au peremende/candy,biscuits za bei ya jumla na rejareja.

Naomba kwa uzoefu wenu nifanye biashara gani kati ya hizo ambayo ina mzunguko mkubwa, isiyo na usumbufu na inayoweza kunipatia faida ya haraka.

Mtaji wangu ni mil 2 na niko Simiyu.

Ahsanteni
Nenda kwa no 2.
 
Vifaaa vya simu mkuu, demand ni kubwa kwa wakati huu. Idadi ya watumiaji inazidi kuongezeka kwa Kasi ya 6G
 
Back
Top Bottom