fikirijohnas
Member
- Nov 10, 2018
- 46
- 29
Biashara ya umeme na vifaa vya simu inahitaji upate sehem iliyochangamka sana ndo itakulipa kwa huo mtajiHabari za usiku huu ndg zangu
Nina mawazo juu ya biashara aina tatu
Ahsanteni sana nduguBiashara ya umeme na vifaa vya simu inahitaji upate sehem iliyochangamka sana ndo itakulipa kwa huo mtaji
Hiyo ya pipi sina experience nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
2m kwa hali ya uchumi wa Tanzania sasa ni Hela ndogo ana ...so kwa biashara yoyote utakayokua umeamua kufanya tafuta sehemu yenye mzunguko mkubwa (muingiliano mkubwa wa watu)Ahsanteni sana ndg
Asante sana kwa ushauri wako2m kwa hali ya uchumi wa Tanzania sasa ni Hela ndogo ana ...so kwa biashara yoyote utakayokua umeamua kufanya tafuta sehemu yenye mzunguko mkubwa (muingiliano mkubwa wa watu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwa no 2.Habari za usiku huu ndugu zangu. Nina mawazo juu ya biashara aina tatu
1. Vifaa vya umeme mfano nyaya, sockets, extensions nk
2. Vifaa vya simu mfano screens, protectors,covers, chargers nk
3. Pipi au peremende/candy,biscuits za bei ya jumla na rejareja.
Naomba kwa uzoefu wenu nifanye biashara gani kati ya hizo ambayo ina mzunguko mkubwa, isiyo na usumbufu na inayoweza kunipatia faida ya haraka.
Mtaji wangu ni mil 2 na niko Simiyu.
Ahsanteni
Ahsante ndgVifaaa vya simu mkuu, demand ni kubwa kwa wakati huu. Idadi ya watumiaji inazidi kuongezeka kwa Kasi ya 6G