Ipi ni bora kati ya hizi mbili: Sinoray 250cc au Honlg 250cc

Mkuu kama type hizi sio!! Hapo ni chaguo lako lakini nahisi bei pia zimeachana kidogo, me ningeenda na Sinoray 🙏🏿🙏🏿.
 
Attachments

  • Screenshot_20251217-120602.png
    Screenshot_20251217-120602.png
    1.7 MB · Views: 68
  • Screenshot_20251217-120221.png
    Screenshot_20251217-120221.png
    757.9 KB · Views: 65
Mkuu achana na Sinoray utanishukuru inachakaaa vibaya sana hiyo ngoma ni tamu ikiwa mpya ila baada ya mwaka ni takataka..... Nina honlg mwaka wa 5 sasa na sijutii
 
Alaaah!! 🤔 kumbe
 
Upo sahihi....mwaka wa pili npo na honlg gy 200 ni imara sanaa hii chuma na rough road inatereza vibaya.

Chukua honlg zinadumu na imara sanaa
 
Hamna pikipiki humo yanachakaa vibaya balaa!, hayana shukrani kabisa hata uyatunze vip labda kidogo Sanya wanajitahidi.
 
Back
Top Bottom