Ipi ni bora kati ya Jiko la gas na jiko la Umeme kwa sababu za kiuchumi?

Ipi ni bora kati ya Jiko la gas na jiko la Umeme kwa sababu za kiuchumi?

PathwayzZote

Member
Joined
Jul 4, 2024
Posts
65
Reaction score
85
To the POINTI 👉🏼. Hivi wakubwa

Ukitumia JIKO la gas lile dogo la kujaza 24000. Na ukatumia jiko la umeme dogo kwa unit za 24000 almost 69 units ka sikosei

Ni wapi ni nafuu kwa matumizi ya nyumbani ??

Wajuzi mtupe majibu apa

Ipi bora kiuchumi wetu
Assume umeme hujakatika🙌🏼
 
Gharama sio kulinunua jiko pekee, induction cookers zinachagua sufuria, kwa hiyo ininabidi uweke bajeti ya kununua sufuria kwa kila size ya mapishi unayotaka kupika na, sufuria zake zimechangamka bei pia.
Shida Bongo wanataka Super profit, Bora uagize mwenyewe Uchina......
Mi nimetumia mwaka sasa Linasavi kinoma
 
To the POINTI 👉🏼. Hivi wakubwa

Ukitumia JIKO la gas lile dogo la kujaza 24000. Na ukatumia jiko la umeme dogo kwa unit za 24000 almost 69 units ka sikosei

Ni wapi ni nafuu kwa matumizi ya nyumbani ??

Wajuzi mtupe majibu apa

Ipi bora kiuchumi wetu
Assume umeme hujakatika🙌🏼
Kwa umeme huu wa Tz bora jiko la gas..umeme unaweza kukatika toka alfajir ukarud sa 4 usiku tena siku ya mapumziko ya jumamosi au jumapili ...
 
Back
Top Bottom