Ipi ni bora kati ya Jiko la gas na jiko la Umeme kwa sababu za kiuchumi?

Ipi ni bora kati ya Jiko la gas na jiko la Umeme kwa sababu za kiuchumi?

H
Kwa umeme huu wa Tz bora jiko la gas..umeme unaweza kukatika toka alfajir ukarud sa 4 usiku tena siku ya mapumziko ya jumamosi au jumapili ...
Hiyo ndio changamoto kubwa Bongo ila ukitoa hilo la kukatika umeme mbona tunawakalisha hao Taifa Gas
 
Gharama sio kulinunua jiko pekee, induction cookers zinachagua sufuria, kwa hiyo ininabidi uweke bajeti ya kununua sufuria kwa kila size ya mapishi unayotaka kupika na, sufuria zake zimechangamka bei pia.
Picha please
 
Picha please

Picha please
1000000322.jpg

1000000324.jpg
 
Swali lako inabidi uliweke vema zaidi..., Ila kiuhalisia Umeme / Kupikia Umeme ni bei rahisi kuliko gesi (kwa gharama za units) sasa inakuja ufanisi wa chombo jiko (mfano ukipika wali kwa rice cooker, kuchemsha maji kwa jug kettle na ukatumia pressure cooker) mambo yanazidi kujipa..., na ukitumia induction cooker ndio umemaliza kabisa

Anhaaa naelewa apo
But all in all bora umeme
 
Anhaaa ngja nizame gugo

Kwan wanakuagizia wenyew au inabd niwe na ajenti wa kuagiza?
Agent anahusika kiongozi.
unaagizisha then Agent anakuletea tz kwa Ngalawa ndani ya siku 60
Kama unataka usipitie kwa agent Agiza aliexpress itapitia posta au Speedaf ila bei ya motoo
 
Agent anahusika kiongozi.
unaagizisha then Agent anakuletea tz kwa Ngalawa ndani ya siku 60
Kama unataka usipitie kwa agent Agiza aliexpress itapitia posta au Speedaf ila bei ya motoo
Anhaaa shukran mkuu
 
Back
Top Bottom